Ukawa mnatuvunja moyo

david January

Member
Joined
May 29, 2015
Posts
17
Reaction score
2
Jana tulitarajia kutangaziwa jina la mgombea urais wa ukawa, jambo ambalo tulilisubiri kwa hamu na mda wote tangu asubuhi mpaka usiku tulijazwa matumain feki kwamba mgombea urais angetangazwa pamoja na mgao wamajimbo matokeo take zikatoka taarifa usiku kuwa mgombea urais atatangazwa baada ya Siku tano basis mtuweke wazi sisi wapenzi was ukaw siyo mtatuweka roho juu msije mkatujaza matumaini mfu tutaumia sana, nawatakia majadiliano mema ila mfanye upesi na Mungu awabariki.
 
kuwa mvumilivu ndugu ... mambo mazuri hayataki haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…