bikira latifah
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 836
- 2,805
Asante dada latifah kuonyesha uwezo mkubwa wa uelewaHatutaki kutugombanisha watu walivyokuwa wanatekwa walitwa dini zote maumivu wanayapata wote msilete chokochoko zenu
Lile gari la bwana abdu bugati ya bilioni 20 ukigawa mngepata toyota ist masheikh 1200 nchi nzima wote mngekuwa mnatembelea gari ila sisi tukiungana kukataa ufisadi nyie mnatumika hivyo tu msitugombanishe na ndugu zetu
tusikubaliane na ushenzi wao huoHatutaki kutugombanisha watu walivyokuwa wanatekwa walitwa dini zote maumivu wanayapata wote msilete chokochoko zenu