Hahaha afu na yule mwenye miwani nyeusi kama kafanana na lemutuz hivi [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu,hiyo ni lugha ya picha...hapo kuna ujumbe msanii anajaribu kuufikisha kwa jamii!
Ina maana mkuu huajaelewa alichoandika Idrisa.?Hivi inawezekanaje mtu unaandika kiswahili na bado hueleweki ulichoandika..!??