Muhubiri 9:11.
Nikarudi na kuona chini ya jua,yakwamba si wenye mbio washindao ktk michezo,Wala si walio hodari washindao vitani,Wala si wenye hekima wapatao chakula,Wala si watu wa ufahamu wapatao Mali Wala wenye ustadi wapatao upendeleo, lakini wakati na bahati huwapata wote..