Kuna baadhi ya vyuo wanaanza orientation jumatatu ikiwa ni pamoja na kufanya registration,sasa ikiwa hawajui muamala wao mnataka wajipange vipi na chuo?
Ingekuwa vyema bodi ikatoa majina ya waliopata mikopo na asilimia zake na waliokosa ili watu waanze kujipanga,sio kusubiri mambo ya kushitukiza amabyo mwisho wa siku yanawatesa wnafunzi amabo wanaripoti wakidhani wanapata mikopo na kuambulia patupu.