Greetings!
Wakuu kwa wanao hitaji ramani za nyumba (Residential Houses) pamoja na cost- estimates zake tuwasiliane, pia Sisi kama BUILK BUILD tunakujengea nyumba yako at a high quality needed! Tembelea website yetu ni www.bulkbuild.com na kwa mawasiliano zaidi ni PM
Nimepitia website yenu na nimeona mnakodisha vifaa vya ujenzi. Ushauri: piga picha vifaa hivyo, then weka www.popo.co.tz, kwani wako watu wengi sana wenye shida ya kukodi vifaa vya ujenzi.