Ujasusi wa CHADEMA ni utapeli?

kumbe una data za krismasi ya mwaka jana?
hebu nenda mwaka huu ili upate uhakika wa kile unacholaumu.
embu tusibishane kana kwamba we ni mwenyeji huku naongelea huko nlipokuwepo christmas iliopita ila kama unataka kwa sasa kwa huku nilipo kama kijiji cha KIGANZA umeme hujawahi kuwepo toka uhuru na kama unataka data zaidi mpigie simu ndugu yako aliyepo kigoma akupe hali halisi shida ya umeme huku kwetu na sio kutaka kubishana for the sake ya kutetea chama kionekane kipo juu wakati huku tunateseka hata hatuwezi fungua biashara huko vijijini pesa tutatoa wapi???
 
Huyu jamaa anashindwa kuelewa nyakati zimebadilika,sheria nazo zimebadilika.Makampuni ya simu nayo yanajua hilo.Vilevile hata watu wa usalama ambao yawezekana walikua wanavujisha siri kutoka serikalini wamebadilishwa.
 

Doto unakifaham unachobisha au ili mradi unabisha tu.
 
Umesema mwenyewe kuwa kuna kikundi cha kijasusi cha chadema afu unalalama kuwa mwenyekiti Mbowe yuko busy kumpigania Msigwa sasa hapo sijaelewa Mbowe ni sehemu ya hicho kikosi na ulitaka na yeye ajichimbie huelewi kuwa kuna mgawanyo wa madraka na je umejuaje km hakuna harakati zote zinazofanyika kujua alipo Ben au ndo kukurupuka au unataka wawe wanakutaarifu kuwa wamefikia wapi? Au Millbrook cha Lwakatare walikuwa wanakupa update you just think b4 post any thread.Ni mtazamo wangu
 
Mbn unajichanganya sana...? Unadai baada ya mwezi mmoja cdm ilikuja na tamko juu ya lwakatare. Basi endelea kusubiri uchunguzi ukitimia utajua nn kinaendelea.
 
Nilitegemea ungeweka na hatua ambayo jeshi la polisi imezichukua!Jeshi la polisi limesema linaendelea na uchunguzi,hujahoji!CDM pia wamesema wanaendelea kufuatilia!Unataka nin zaidi?Ni nani mwenye nafasi na nyenzo ya kumpata Ben kati ya CDM na polisi?Jeshi limepuuza,ingekuwa wako serious wangeshaongea na viongozi wa CDM na watu wa karibu ili kuchukua taarifa muhimu katika upelelezi wao!Kiufupi jeshi ndio limepewa jukumu la kulinda raia na watu wake!Je,wameshindwa kazi?
Ben si mtu baki,ni raia wa Tanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…