Ujasusi wa CHADEMA ni utapeli?

Ben Kapotezwa na chadema,wakati utaamua tu
sasa si ukasaidie polisi kwenye kutafuta ukweli maana inaonekana una ushahidi au taarifa inayoweza saidia kuanika ''UOVU'' wa chadema.

hvi unafkiri chadema wanavyosakamwa hivi na ccm wakifanya hata kosa la kumpiga tu mwizi pale ufipa unafkiri haitakuwa kesi tosha ya kukifuta chama ?? kma tu wakisema neno dogo linaitwa uchochezi sembuse waue mtu ccm iwaangalie tu?? by now mbowe na lowassa wangekuwa kisutu na murder case nzito. This is poor reasoning come on jiongeze basi
 
Haaaahaaaaaa mambokizega toka lini ulikuwa unasupport au kuwa na imani na upinzani?? nmefuatilia sana post zako na thread zako sote ni za kukejeli upinzani na kukosoa kila walifanyalo nashangaa unajidanganya eti "IMANI YANGU ILIPOTEA TOKA LOWASSA AJE".
Its ok kma hujawahi unga mkono upinzani lakini haina haja ya kulazimisha ionekane upinzani uligawanyika baada ya lowassa kuja.
 
Naamini kuelekea wilaya unayoishi kuna lami tofauti na miaka 50 iliyopita.

Naamini pia wilayani kwenu kuna umeme wa kuchaji simu yako tofauti na miaka 50 iliyopita.
Are u sure??? hiyo ilani yenu ya uchaguzi mliitekeleza kwa aslimia ngapi kabla huyu rais wa sasa kuja na ahadi chungu mzima??? kilimo kwanza iliiishia wapi na sijui blion mbili kila mkoa ziliishia wapi??? ajira million 2 ziliishia wapi ?? mahakama ya kadhi vp ?? .
Nyie mnaahidi kuliko utekelezaji afu tukihoji mnatupa majibu mepesi. Huku kwetu kigoma kuna maeneo umeme hujafika kabisa mwaka wa 50 huu hta msitimu tu au nyaya za tanesco tunaziskia redioni tu hta barabara ya lami hku kwetu sijawahi ona toka nazaliwa ssa hizi hoja zako zina ukweli gani??
 
Chadema wasema call log ya mwisho ya ben ichunguzwe ndo itaonesha mwanga upande wapili waziri fulani anakuja na kusema fwatilieni mtandao wa simu na mtajua kua ben ni rafiki yangu mmmmmmm.... Imooooooo
 
Chadema wasema call log ya mwisho ya ben ichunguzwe ndo itaonesha mwanga upande wapili waziri fulani anakuja na kusema fwatilieni mtandao wa simu na mtajua kua ben ni rafiki yangu mmmmmmm.... Imooooooo
mkuu gost nmecheka sana hiyo post yako dah haaaahaa
 
unaweza kuwa more specific uko kigoma wilaya na kijiji gani ili tujue ukweli?
by the way 2020 hilo eneo litakuwa linawaka taa kama kweli halina hata mstimu
 
Labda wapikuwa wanamtegemea Ben Saanane kudukua.
Otherwise ,CHADEMA wanafanya makusudi au wanasehemu wanategea.
Hata hivyo,tatizo ni kupwaya kwa katibu mkuu wetu.
 
Uliponionyesha una akili ndogo NI KWAMBA CHADEMA HAWANA UWEZO NDIO MAANA WANAWAPIGIA MAGOTI POLISI...Polisi wa ccm kuna watu mpaka wawapigie magoti?What a shame ..
 
unaweza kuwa more specific uko kigoma wilaya na kijiji gani ili tujue ukweli?
by the way 2020 hilo eneo litakuwa linawaka taa kama kweli halina hata mstimu
huko jimbo la kigoma kaskazini na manyovu kuna vijiji mwaka jana nilikuwa huko holiday ya christmas umeme haujafika bado kma kalinzi na nyarubanda na vijiji kuelekea huko buyungu. Sasa cha kushangaza mnaahidi viwanda hadi kigoma wakati mnajua fika umeme kule bado hauko stable maeneo mengi.... tukihoji mnatuona wahuni na tunapinga kila kitu.
 
kumbe una data za krismasi ya mwaka jana?
hebu nenda mwaka huu ili upate uhakika wa kile unacholaumu.
 
CHADEMA hii ya Mashinji, Lowassa na Swissme haina msisimko wala uzalendo. Yaani wapo wapo tu. Nilipomuona Mbowe anatumbua ruzuku Ulaya akipiga picha mbele ya mabunge ya Ulaya akiwa na Lissu na Mrema huku msaidizi wake ana wiki mbili tangu apotee basi nikajua something was wrong somewhere. Ama kupotea kwa Ben was no big deal au walikuwa wanajua alipo. Muda utatupa majibu lakini kuna maluweluwe sana kwa jinsi suala hili lilivyoshughulikiwa na CHADEMA. Utafikiri Ben ni chasaka na siyo Mchaga mwenzao. Aaaargh!!!
 
Unaandika mambo kishabiki zaidi,ww badala uandike mazuri ya ccm yako unatuletea upuuzi wa kitoto hapa,CHADEMA sio level yako maana hata andiko lako ni kama la mtoto wa darasa la saba
 
Unahoja nzuri
Tatizo Chama chetu hakipendi ukweli

Ndio maana kina MOTOCHINI wanatuita Nyumbu
Hatujui kukosoa
 
Mbowe anajua Ben alipo wala msihangaike....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…