hao jamaa wakipata uraisi watanunua nusu ya kenya iliyobaki kwani kwamujibu wa doctrine ya willful buyer and willful sealer wataendeleza uchu huo kwani bagaining power itaongezeka na hakuna mtu atakayekubali kubagain na raisi na wakenya wote watakuwa squatters

Nilikuwa naangalia habari mbalimbali za kenya(online), eti zinasema kuwa Uhuru ame-gain polls na Raila ame-loss polls kwenye 2nd debate, wakati ile issue ya land imem-crash kabisa Uhuru. Wakenya ukabila utawaua.

hawa jamaa si eti hawana support bali wana watu wao waliolenga ukabila zaidi kuliko hoja.
Hawa ndio wanawapa ubavu. Hata hivyo Kenya kuna watu wengi tu ndo maana unakuta hii
mikutano inafura kiasi hiki. Pia kumbuka njaa inaleta watu katika hii mikutano maana kuna
kulipwa pia.
Thank you all for the support you have shown us today and for your commitment to deliver a Jubilee Government come March 4. Get Out in large numbers and vote for UhuRuto.
I am excited that the people of Laare will be coming out in large numbers come March 4th to vote for a Jubilee Government. Let us make this a round one win so that our agenda to transform Kenya can begin immediately. Thank you and God Bless you all.