J Jasama Member Joined Aug 22, 2021 Posts 19 Reaction score 6 Oct 21, 2022 #1 Nasikia NACTE wamezuia uhamisho wa kozi za afya kwa wanafunzi wapya mwaka wa masomo 2022/2023 eti hadi uwe umesoma semester moja au mwaka kwa wanaoendelea tu. Eti tatizo au mantiki yao ni nini ya kuzuia transfer ya kozi kwa mwaka wa kwanza?
Nasikia NACTE wamezuia uhamisho wa kozi za afya kwa wanafunzi wapya mwaka wa masomo 2022/2023 eti hadi uwe umesoma semester moja au mwaka kwa wanaoendelea tu. Eti tatizo au mantiki yao ni nini ya kuzuia transfer ya kozi kwa mwaka wa kwanza?