Kinachoendelea saivi ni "UHAKIKI" nasubiria niskie walioweka hao watumishi hewa ila bado sijasikia
Wakulugenzi waliokamatwa au hiyo mishahara ya watumishi hewa ilikuwa inachukuliwa na watu hewa!?!?!?
Hii ni bonge la moja la series, ni full drama tu.
Sijui itaisha lini na ss tuanze kuishi maisha mazuri.
Ng'ombe wa maskini hazai-mnyonge atazid kuwa mnyonge.