Wanabodi tafadhali Masada wa daktari au hospitali ya mtaalam wa matatizo ya tumbo kuuma kitovoni. Vipimo vya awali vilionyesha typhoid mwingine dalili za appendix. Kwa Arusha au DAR tafadhali.
Wanabodi tafadhali Masada wa daktari au hospitali ya mtaalam wa matatizo ya tumbo kuuma kitovoni. Vipimo vya awali vilionyesha typhoid mwingine dalili za appendix. Kwa Arusha au DAR tafadhali.
inaonyesha uanyo maradhi ya ngiri ya tumbo wewe nenda kapime vizuri. kisha unitafute nipate kukutişbia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Wanabodi tafadhali Masada wa daktari au hospitali ya mtaalam wa matatizo ya tumbo kuuma kitovoni. Vipimo vya awali vilionyesha typhoid mwingine dalili za appendix. Kwa Arusha au DAR tafadhali.
Daaah Mimi pia tumbo linauma sana hapa chini ya kitovu kulia na kushoto nilikuwa pia na tatizo la mkojo mchafu walipima Urine analysis wakapata UT I nkapewa dawa nimemaliza ikawa bado inauma nikaenda hospital ya rufaa ya mkoa wapima tena Urine culture hakuna tatizo!
Wakasema ni UTI tu nikapewa Dawa tofauti na ya mwanzo yaani AMOXICLAV nayo nimemaliza lakini bado chini ya kitovu panauma mpk wakati mwengine nachomwa na kichomi nikinywa maji huku mkojo bado wa njano.