Ndimi mbili'' ni tatizo la kuota kinyama kama ulimi mdogo juu ya ulimi wa kawaida, hutokea pale unapoanza kuzamia ulimi ndio huchomozea hapo' Ni mfano wa mtu aliyebeba mtoto kikakaa katika ulimi.
''Uvulitis'' ni kuvimba kwa Kilimi au Kimeo. Hii ni tishu ndogo ya umbo la ulimi ambayo huning'inia kutoka juu ya sehemu ya nyuma ya mdomo. Kuwa na kimeo au kilimi kirefu huaminika humsababishia mtu kikohozi.