Ontlametse Phalatse ndilo jina hasa la binti huyu aliepozi katika picha na Hon. Jacob Zuma Mwezi March mwaka huu .
Binti huyu alikua akiugua ugonjwa unaosababishwa na matatizo kwenye kiini uhai (genetic),Ugonjwa huo unaitwa
[HASHTAG]#PROGERIA[/HASHTAG] .
Kifupi progeria huathiri ukuaji wa mtoto na kumfanya azeeke mapema kabla ya umri.
Utafiti unaonyesha ugonjwa huo humfanya mtoto kufariki akiwa na wastani wa miaka 13
.
na kwa Takwimu inaonyesha huzaliwa mtoto mmoja kwa kila watoto milioni nne.
huyu Binti amefariki Juzi akiwa na miaka 18 katika hospitali ya Dr George Mukhari Academic,Pretoria.
amekua akitumika kuongeza awareness kwa dunia kuhusu tatizo hilo.
kwa south Africa binti huyu alikua akijulikana kama first Lady na ndivyo alivyopenda kuitwa na Kutambuliwa.
Pumzika Binti mzuri.
dunia si sehemu salama ya kuishi.
umeyapigania maisha .
umeyaishi maisha yako.
RIP