Wilson Gamba JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 820 Reaction score 917 Aug 9, 2013 #1 Mtoto wa rafiki yangu anatatizo hilo pindi akitembea joint zote kuanzia za miguu adi mikono zinavimba,je atumie dawa gani? Msaada tafadhari
Mtoto wa rafiki yangu anatatizo hilo pindi akitembea joint zote kuanzia za miguu adi mikono zinavimba,je atumie dawa gani? Msaada tafadhari
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,957 Aug 9, 2013 #2 Mkuu.@Wilson Gamba Dawa ya mtoto wa huyo Rafiki yako ni kumpeleka Hospitali akaangaliwe na Daktari itajulikana ana ugonjwa gani ndipo atakapo patia dawa.
Mkuu.@Wilson Gamba Dawa ya mtoto wa huyo Rafiki yako ni kumpeleka Hospitali akaangaliwe na Daktari itajulikana ana ugonjwa gani ndipo atakapo patia dawa.
K Kim Jong Un JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 497 Reaction score 270 Aug 12, 2013 #3 inategemea ana umri gani. inaweza kuwa rheumatoid arthritis au sickle cell kama unashambulia joint ndogo..
inategemea ana umri gani. inaweza kuwa rheumatoid arthritis au sickle cell kama unashambulia joint ndogo..