---
ππ ELIMU KWA WAFUGAJI
Ugonjwa wa Homa ya Mapafu kwa Nguruwe (Swine Pneumonia)
---
π Ugonjwa huu ni nini?
Ni maradhi yanayoathiri mfumo wa upumuaji wa nguruwe. Husababisha shida ya kupumua, ukuaji hafifu na huweza kusababisha vifo iwapo hautadhibitiwa mapema.
---
π¬ Visababishi Vikuu:
---
π¨ Dalili Muhimu:
1. Kupumua kwa shida au haraka
2. Kikohozi cha mara kwa mara
3. Kuvimba pua na kutoa ute
4. Kukosa hamu ya kula
5. Udhaifu wa mwili / kuchelewa kukua
6. Homa kali na kushindwa kusimama
7. Kutetemeka kwa mwili
---
β Kuzuia & Tiba:
---
π Kwa Matibabu na Ushauri wa Kitaalamu:
Dr. Gilliard β Daktari wa Mifugo
π± 0674740836 | 0792263640
---
Tulinde afya ya nguruwe wako β ongeza tija shambani!

- Bakteria (hasa Mycoplasma hyopneumoniae)
- Mazingira ya baridi, unyevunyevu au msongamano mkubwa
---
π¨ Dalili Muhimu:
1. Kupumua kwa shida au haraka
2. Kikohozi cha mara kwa mara
3. Kuvimba pua na kutoa ute
4. Kukosa hamu ya kula
5. Udhaifu wa mwili / kuchelewa kukua
6. Homa kali na kushindwa kusimama
7. Kutetemeka kwa mwili
---
β Kuzuia & Tiba:
- π Toa chanjo kwa wakati
- π§Ό Dumisha usafi na uingizaji hewa banda
- π· Punguza msongamano
- π Ugonjwa unatibika β wasiliana nasi mapema
---
π Kwa Matibabu na Ushauri wa Kitaalamu:
Dr. Gilliard β Daktari wa Mifugo
π± 0674740836 | 0792263640
---
Tulinde afya ya nguruwe wako β ongeza tija shambani!