Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
That’s funny, when it comes to human right issue there’s no boundary so [emoji1139] was right...it was very disrespectful to the govt of Uganda...we also have our own problems but you don't see Ugandan mps carrying out protests on our behalf...so we have a few rogue mps in our midst that we need to get rid of or face the consequences
Yes hii ndilo jambo la msingi. Mp ni mtu mkubwa katika nchi. Ni vyema akawa makini na kuelewa boundaries zake. Sisi hapa TZ mbunge wa jimbo moja hawezi kuingilia masuala ya jimbo jingine. Yeye ni representative wa kushughulikia matatizo ya watu wake na kutetea maslah yao na si vinginevyo. Tukiendekeza mambo kama haya politics za EA zitakuwa chaos.naelewa ila mambo kama haya kuna njia mwafaka ya kufuata ili kusiwe na diplomatic issues...sio kuenda tu kwenye streets na kuanza kuitusi serikali ya nchi nyingine especially kama wewe ni mbunge..nakubali kuwa bila shaka serikali ya Uganda inafanya makosa kwa kuwakandamiza wananchi wao ila wabunge wetu hawakuwa na right ya kufanya walichofanya.....if it was the other way around, nakwambia wakenya wangekasirika sana....infact ingekuwa ni hao hao wabunge ambao wange demand apology..kule Afrika Kusini wananchi walifanya tu peaceful demonstrations kisha .mambo yakaisha hivo...
nakubaliana na haya...hata humu gavana akijaribu tu kuingilia siasa za county nyingine bila shaka kutakuwa na mvutano...hivyo iweje sisi tunaingilia mambo ya Uganda?...wabunge wangewawacha wananchi tu wafanye protests ila sio wao...hio ni kuleta picha mbaya especially since tunawahitaji waganda pia kwa mambo mengine...Yes hii ndilo jambo la msingi. Mp ni mtu mkubwa katika nchi. Ni vyema akawa makini na kuelewa boundaries zake. Sisi hapa TZ mbunge wa jimbo moja hawezi kuingilia masuala ya jimbo jingine. Yeye ni representative wa kushughulikia matatizo ya watu wake na kutetea maslah yao na si vinginevyo. Tukiendekeza mambo kama haya politics za EA zitakuwa chaos.
Pamoja na matani tunayotaniana humu kwenye mitandao all EA we need each other. Mambo yanayovuruga unit yetu tunatakiwa kuyakemea. Community iliyo na future nzuri Africa is only EAC. Mps wanatakiwa wafundishwe. Ingekuwa EA Mps isingekuwa na shida. Au raia wangeandamana hapo ingekuwa sawa.nakubaliana na haya...hata humu gavana akijaribu tu kuingilia siasa za county nyingine bila shaka kutakuwa na mvutano...so iweje siisi tunaingilia mambo ya Uganda?...wabunge wangewawacha wananchi tu wafanye protests ila sio wao...hio ni kutuma picha mbaya especially since tunawahitaji waganda pia kwa mambo mengine...
Unasingizia wabunge wa Upinzani but for sure hii ni sampuli ya sahihi ya Tabia zenu za Viherehere,nakubaliana na haya...hata humu gavana akijaribu tu kuingilia siasa za county nyingine bila shaka kutakuwa na mvutano...hivyo iweje sisi tunaingilia mambo ya Uganda?...wabunge wangewawacha wananchi tu wafanye protests ila sio wao...hio ni kuleta picha mbaya especially since tunawahitaji waganda pia kwa mambo mengine...
Tunatakiwa kuwa makini, kwasababu baadhi ya Mps kwenye nchi zetu ni puppets. We need to abolish interference ya other state affairs.
Unajua the same MP ambaye alimdharau huyo M7 , is the same MP ambaye alimtuka rais Uhuru Kenyatta na kumuita "Mtoto wa Umbwa!" ..... yani alikua hakumtukana uhuru pekee bali alitukana mpaka babake kua Jomo Kenyatta ndo alikua Mbwa na Uhuru ndo mtoto wa mbwa..... Huyu ndo mmoja wepo wa MPs ambaye mnatarajia aombe msamaha...Okay. But you need to tell you MPs waelewe affairs za nchi zingine. Inaweza ikawaletea matatizo siku za usoni. Your government is responsible for this.
Government ndiyo inayofanya inforcement ya sheria. Mkiendelea kuendekeza upuuzi kama huu mtakuja kukutana na kitu kibaya.
Wafundisheni politicians wenu wajue mipaka yao.
I don't have issue with Uhuru. Uhuru ni mwanasiasa mzuri sana lakini kazungukwa na genge kubwa la vibaka.Unajua the same MP ambaye alimdharau huyo M7 , is the same MP ambaye alimtuka rais Uhuru Kenyatta na kumuita "Mtoto wa Umbwa!" ..... yani alikua hakumtukana uhuru pekee bali alitukana mpaka babake kua Jomo Kenyatta ndo alikua Mbwa na Uhuru ndo mtoto wa mbwa..... Huyu ndo mmoja wepo wa MPs ambaye mnatarajia aombe msamaha...
Anyway, Uhuru aliulizwa maoni yake kuhusu siasa za Uganda kwa ile interview ya BBC hard talk... na alijibu vizuri ifwaavyo
Hahaa! [emoji] Wanam'follow' UKenyatta kwenye twitter sasa sijui Jiwe watampata wapi? Labda kwenye posta.Meanwhile, you have no idea what ******** tweets but you know every tweet Uhuru tweets.
We kichaa. Huwezi kuwapangia waganda namna ya kujiendesha nchi yao. Hizi ni akili za kikoloni.Hatuwezi support dictatorship in East Africa. Hao MPs wasiombe msamaha. Time for dictators in Africa is over. Full stop.
Hii ndio vitu watu wanatetea humu Jf. Unyama kama huu? Bobi na Zaake, both who are critically ill can't even leave Uganda for medical attention abroad. They were arrested at the airport.
Hatuwezi support dictatorship in East Africa. Hao MPs wasiombe msamaha. Time for dictators in Africa is over. Full stop.
Hahaha leo imekuwa tit for tat 😂😂😂Hebu toa ujinga wako hapa. Mbona hamkufanya chochote mbele ya ndugu yenu miguna miguna. Leo ndio umekuwa na uchungu na waganda.