,Hilo ni moja mkuu, pili ni gereji nyingi hazina mfumo/utaratibu maalumu wa kufanya service ya magari. Mathalani, manual za magari mengi zinashauri ufanye service ya namna gani kwa km kadhaa. Service ya gari iliyotembea km 5000 haipaswi kuwa sawa na gari iliyotembea km15000.
Sasa hawa wataalamu wetu, kama unafanya service kila baada ya km 3500, basi we ukipeleka ni Airfilter, Oilfilter, Engine oil, Brake adjustments, ATF baaaasi haijalishi ni km3500 zipi!!! Wakifanya Zaidi ni kwasababu umepeleka gari ikiwa na tatizo
Habari za humu ndani waungwana. Huwa nafurahi sana na mada za humu ndani. Leo nina mada kuhusu mafundi na garage tunazopeleka magari yetu kwa matengenezo.
Nimemiliki gari moja(rav4) kwa miaka 4 mpaka sasa. Katika safari zangu garage huwa kuna kitu kinakera mara kwa mara nimeona niombe msaada kufaham labda tatizo liko wapi.
Nimekutana na baadhi ya mafundi wanaokuwa na haraka ya kuhukumu tatizo kabla ya kudadisi na kuchunguza vya kutosha. Mfano, gari linagota breki inapokanyangwa kwenye foleni. Mwendo zaidi ya hapo tatizo halisikiki na wala haigoti kwenye bump wala mashimo. Fundi anashauri kubadili shock-absober, link zote mbili na stabilizer bush mbili. Sikubaliani naye kwa ailimia 80.
Sio mara ya kwanza ishu kama hii imenitokea ama nimeshuhudia gari limeenda garage kwa tatizo A, fundi kasema ni B na akatibu B kwa gharama kubwa kesho yake tatizo lipo pale-pale. Na kwa vile hamna warrant ya kazi kwa maamndishi, ndo bas tena nahesabia nimefanya maboresho hata kama sio lengo kwa mda ule.
Jambo hili silipendi na sijajua kama ni mimi mbishi sana, ni gari mbovu kupindukia, fundi, ama garage ninakoenda ni wapigaji ama unakuaje.
Unakuta umetumia hela ndefu na mda kurekebisha mambo ambayo sio na tatizo bado lipo palepale.
Sijajua yananikuta mimi tu ama wapo wengine.
(Mimi mbishi kiasi chake, sikubali hata siku moja kunywa dawa ya maleria kama naumwa meno, hata kwa bakora sinywi mpaka daktari aeleze uhusiano wa meno na maleria.)
Asanteni, naomba maoni yenu na mchango kwa tatizo la breki kwa sasa.
Sijaelewa brake kugotaa hapa nieleze kwa lugha nyingine ili nikupe mchango wangu.Tatizo la breki kugota 'ku!' lilisababishwa na break pad moja (mpya) ya ndani kutokaa sawasawa kwenye bracket yake na caliper. Ilikuwa inalika upande wa chini so contact haikuwa nzuri. Ni tatizo gumu kutambua nimeliona mitandaoni na wateja wengi waliishia kubadilisha baadhi ya vitu. Kwangu mimi nimerudishia pad ya zamani, ila nashuku brand itakuwa sio ya uhakika sana. So tatizo sorted!
Asanteni.
Sijaelewa brake kugotaa hapa nieleze kwa lugha nyingine ili nikupe mchango wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo fundi anaye mnunulisha mteja shock-ups kwa tatizo la brake ni muuaji.
Brake kugota inategemeana kwanza kuna swala la
*Brake pads
*brake lines zinavujisha
*master cylinder imechoka
*wheel cylinder zina shida
*Power brake booster(Hii inahitaji vimaelezo kidogo) nikipata mda nita share
*calipers zinavujisha
*Valve zinazo balance hydraulic system zimekufa
**Anti-lock brake systems (ABS) hii nayo iki malfunction huleta matatizo kwenye mfumo wa brake lakini kwa mtindo wa kipekee...Hii husaidia gari kusimama hapo hapo ila kuseleleka ukipiga brake yako.
Wakali wa donta tunaita hii kitu Nta!
* mafuta ya brake hayapo yakutosha hivyo system kuingia upepo na kusababisha air bubbles ndani ya system.
Na kama unavyojua brake fluid inasifa ya kutokua compressed ,hivyo upepo ukiingia directly inapoteza hiyo sifa.
upepo unaweza kuwa compressed hivyo husababisha brake pedal kua kama sponge na brake system kupoteza ubora kisha hilo tatizo la kugota ndipo hujitokeza.
*Mwisho aina ya brake fluid unayotumia...
DOT-3 ndio recommended fluid na manufactures wengi wa magari mfano Toyota,Mistubishi etc
DOT-3 pia ndio brake fluid ambayo imekidhi vigezo vilivyo wekwa na Department of Transportation (DOT) duniani.
DOT-3 imekua designed kuhimili kutokutanuka wakati wa baridi na kuchemka wakati wa joto kali.
Brake fluid inayo kua na sifa opposite na nilizo taja hapa husababisha kugota kwa brake.
Machache hayahusiani na tatizo lako ila yatakusaidia wapi pa kuangalia brake zikikuzingua tena.
Pole,inategemea,both sides inaweza kuwa problem,
Kwa fundi...kama ana haraka au anatumia uzoefu ndio wanakuwaga wanatoa majibu ya kubahatisha,vilevile kama mteja ana haraka au na yeye anajifanya fundi then hapo fundi anaamua kutoa defect ilimradi,lakini hiyo ni beyond professional.
Mi ni fundi,ila sometime inanichukua zaidi ya mwezi kulikagua gari lakini nikitoa defect ujue ni ya uhakika.
Maana mafundi wanakumbatia kazi nyingi kushinda uwezo na mwisho wa siku kama hana task management nzuri anaishia kubahatisha.
Vizuri sana Bw. BesarHabari za humu ndani waungwana. Huwa nafurahi sana na mada za humu ndani. Leo nina mada kuhusu mafundi na garage tunazopeleka magari yetu kwa matengenezo.
Nimemiliki gari moja(rav4) kwa miaka 4 mpaka sasa. Katika safari zangu garage huwa kuna kitu kinakera mara kwa mara nimeona niombe msaada kufaham labda tatizo liko wapi.
Nimekutana na baadhi ya mafundi wanaokuwa na haraka ya kuhukumu tatizo kabla ya kudadisi na kuchunguza vya kutosha. Mfano, gari linagota breki inapokanyangwa kwenye foleni. Mwendo zaidi ya hapo tatizo halisikiki na wala haigoti kwenye bump wala mashimo. Fundi anashauri kubadili shock-absober, link zote mbili na stabilizer bush mbili. Sikubaliani naye kwa ailimia 80.
Sio mara ya kwanza ishu kama hii imenitokea ama nimeshuhudia gari limeenda garage kwa tatizo A, fundi kasema ni B na akatibu B kwa gharama kubwa kesho yake tatizo lipo pale-pale. Na kwa vile hamna warrant ya kazi kwa maamndishi, ndo bas tena nahesabia nimefanya maboresho hata kama sio lengo kwa mda ule.
Jambo hili silipendi na sijajua kama ni mimi mbishi sana, ni gari mbovu kupindukia, fundi, ama garage ninakoenda ni wapigaji ama unakuaje.
Unakuta umetumia hela ndefu na mda kurekebisha mambo ambayo sio na tatizo bado lipo palepale.
Sijajua yananikuta mimi tu ama wapo wengine.
(Mimi mbishi kiasi chake, sikubali hata siku moja kunywa dawa ya maleria kama naumwa meno, hata kwa bakora sinywi mpaka daktari aeleze uhusiano wa meno na maleria.)
Asanteni, naomba maoni yenu na mchango kwa tatizo la breki kwa sasa.
Somo murua kweli kweli... nina shida binafsi na gari langu, naruhusiwa kuja PM??Huyo fundi anaye mnunulisha mteja shock-ups kwa tatizo la brake ni muuaji.
Brake kugota inategemeana kwanza kuna swala la
*Brake pads
*brake lines zinavujisha
*master cylinder imechoka
*wheel cylinder zina shida
*Power brake booster(Hii inahitaji vimaelezo kidogo) nikipata mda nita share
*calipers zinavujisha
*Valve zinazo balance hydraulic system zimekufa
**Anti-lock brake systems (ABS) hii nayo iki malfunction huleta matatizo kwenye mfumo wa brake lakini kwa mtindo wa kipekee...Hii husaidia gari kusimama hapo hapo ila kuseleleka ukipiga brake yako.
Wakali wa donta tunaita hii kitu Nta!
* mafuta ya brake hayapo yakutosha hivyo system kuingia upepo na kusababisha air bubbles ndani ya system.
Na kama unavyojua brake fluid inasifa ya kutokua compressed ,hivyo upepo ukiingia directly inapoteza hiyo sifa.
upepo unaweza kuwa compressed hivyo husababisha brake pedal kua kama sponge na brake system kupoteza ubora kisha hilo tatizo la kugota ndipo hujitokeza.
*Mwisho aina ya brake fluid unayotumia...
DOT-3 ndio recommended fluid na manufactures wengi wa magari mfano Toyota,Mistubishi etc
DOT-3 pia ndio brake fluid ambayo imekidhi vigezo vilivyo wekwa na Department of Transportation (DOT) duniani.
DOT-3 imekua designed kuhimili kutokutanuka wakati wa baridi na kuchemka wakati wa joto kali.
Brake fluid inayo kua na sifa opposite na nilizo taja hapa husababisha kugota kwa brake.
Machache hayahusiani na tatizo lako ila yatakusaidia wapi pa kuangalia brake zikikuzingua tena.
Hahahaaaa!! Huyo fundi kiboko. Mie namwambia funga bonet langu na tutaonana kwenye mataa tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee hii kitu inanikuta mida hii, nimeenda kuchek ABS inawaka muda wote, naona limekuja swala la oil ya gearbox while ABS inahusiana na brake system. Mafundi wa Dar bana
Sent using Jamii Forums mobile app