B BenMaestro New Member Joined Jul 14, 2019 Posts 1 Reaction score 0 Jul 14, 2019 #1 Nahitaji msaada kuhusu namna ya ufugaji wa vyura
G8M8 JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 432 Reaction score 393 Jul 17, 2019 #2 Soko lake umelipata mkuu tujuzanane kwa undani
G8M8 JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 432 Reaction score 393 Jul 17, 2019 #3 Huku maeneo yet uhitaji kufuga wapo wengi tu
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,244 Reaction score 55,830 Jul 17, 2019 #4 Nyakati hizi vitu vingi vitafugwa mpaka nzi....
E Ellynho47 Senior Member Joined Jun 5, 2019 Posts 119 Reaction score 80 Jul 19, 2019 #5 Write your reply...soko lipo ? Ngoja nimalizie kufuatilia ufugaj wa mende kwanza ndo nije wa vyula.
TUJITEGEMEE Platinum Member Joined Nov 6, 2010 Posts 27,297 Reaction score 28,006 Jul 20, 2019 #6 G8M8 said: Soko lake umelipata mkuu tujuzanane kwa undani Click to expand... Soko lipo Dodoma. Kuna aina maalumu ya vyura....lazima chura afikie uzito wa robo kilo au juu zaidi
G8M8 said: Soko lake umelipata mkuu tujuzanane kwa undani Click to expand... Soko lipo Dodoma. Kuna aina maalumu ya vyura....lazima chura afikie uzito wa robo kilo au juu zaidi
B Banks277 Member Joined Oct 14, 2020 Posts 5 Reaction score 0 Oct 14, 2020 #7 TUJITEGEMEE said: Soko lipo Dodoma. Kuna aina maalumu ya vyura....lazima chura afikie uzito wa robo kilo au juu zaidi Click to expand... Mbegu umeshaipata mkuu.. naomba unijuzeš
TUJITEGEMEE said: Soko lipo Dodoma. Kuna aina maalumu ya vyura....lazima chura afikie uzito wa robo kilo au juu zaidi Click to expand... Mbegu umeshaipata mkuu.. naomba unijuzeš
T Tangantika JF-Expert Member Joined Aug 12, 2018 Posts 5,806 Reaction score 7,379 Oct 14, 2020 #8 G8M8 said: Huku maeneo yet uhitaji kufuga wapo wengi tu Click to expand... Shinyanga msimu wa mvua nenda ktk majaruba utapata vyura nusu kilo ukubwa wake.
G8M8 said: Huku maeneo yet uhitaji kufuga wapo wengi tu Click to expand... Shinyanga msimu wa mvua nenda ktk majaruba utapata vyura nusu kilo ukubwa wake.
Nafaka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 12,157 Reaction score 31,334 Oct 14, 2020 #9 BenMaestro said: Nahitaji msaada kuhusu namna ya ufugaji wa vyura Click to expand... Mkuu unataka kuwafuga kwa ajili ya kuuza miguu yao kwa chakula au wana kazi nyingine ya ziada? Maana najua miguu yao ndiyo inaliwa ila wananuka.
BenMaestro said: Nahitaji msaada kuhusu namna ya ufugaji wa vyura Click to expand... Mkuu unataka kuwafuga kwa ajili ya kuuza miguu yao kwa chakula au wana kazi nyingine ya ziada? Maana najua miguu yao ndiyo inaliwa ila wananuka.
B Banks277 Member Joined Oct 14, 2020 Posts 5 Reaction score 0 Oct 16, 2020 #10 Tangantika said: Shinyanga msimu wa mvua nenda ktk majaruba utapata vyura nusu kilo ukubwa wake. Click to expand... Wanafugika?
Tangantika said: Shinyanga msimu wa mvua nenda ktk majaruba utapata vyura nusu kilo ukubwa wake. Click to expand... Wanafugika?
T Tangantika JF-Expert Member Joined Aug 12, 2018 Posts 5,806 Reaction score 7,379 Oct 16, 2020 #11 Banks277 said: Wanafugika? Click to expand... Ungeuliza wanavunika? Wanakuwa sio was kufuga nu kuvuna.Majaruba hujaza vyura aisee.Tens wake wakubwa.
Banks277 said: Wanafugika? Click to expand... Ungeuliza wanavunika? Wanakuwa sio was kufuga nu kuvuna.Majaruba hujaza vyura aisee.Tens wake wakubwa.