Ufisadi wa Samweli Sitta umevuka viwango na kasi


Yaani huyu anafanana na dk slaa kila kitu.
 
Hilo jengo lipo na mimi ndio niko kwenye sekta ya ujenzi kwa hiyo najua na ukitaka nifunue majengo ya viongozi naweza au kwa kidokezo je!unajua kama waziri wa mambo ya ndani aliepita ana jengo la floor 4 mikocheni?

Nyuma ya shell ya Camel zamani Bp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…