Aaah sio sana, afu kwenye Soko la hisa Kuna product zaidi ya hisa, Kuna hatifungani pia Kuna vipande vya utt nazo zipo frexhUwekezaji wa hisa kwenye hii awamu ya tano ni sawa na kuchoma pesa.
Awamu hii mauzo ya hisa yalishuka kwa kiwango ambacho hakija wahi onekana dokea DSE ianze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hati fungani Nzuri sana kukuza mtaji halafu nasikia kuna gawio ila me naogopa serikali isije ikafanya mambo yake hela yako ikawa imeenda kama mfuko wa pensheni walivyofanya,halafu boss kwanini gharama ya kununua vipande ipo juu kuliko kuuzaAaah sio sana, afu kwenye Soko la hisa Kuna product zaidi ya hisa, Kuna hatifungani pia Kuna vipande vya utt nazo zipo frexh
Aaah sema kununua hisa unatumia mawakala wa Soko la hisa, wengi wapo dar but hata kupitia Crdb bank unaweza nunuaElimu juu ya hisa tunazo lkn jinc yakufikia hisa izo ndo hatujui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjomba unaonekana una ABC,s hebu mwaga hapa maujuzi twende kuwekeza.Aaah sio sana, afu kwenye Soko la hisa Kuna product zaidi ya hisa, Kuna hatifungani pia Kuna vipande vya utt nazo zipo frexh
Kuna project namalizia kuifanya kuhusu mambo haya ya elimu ya uwkezaji , ikikamilia nitakujulisha hopefully itasaidia sana kuelewa haya mamboMjomba unaonekana una ABC,s hebu mwaga hapa maujuzi twende kuwekeza.
Hivi huko UTT nikiwekeza nikitaka hela zangu zitarudi kweli, vp serikali hawezi kuingilia wanadai laundry
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukizihitaji unazipata kwa utaratibu maalumu,,wa kujaza fomu na vipande vyako kuuzwa kwa mwingine,,Halafu ndani ya siku 5 za kazi unapewa mzigo wako..Iko hivyo kama sikoseiHivi huko UTT nikiwekeza nikitaka hela zangu zitarudi kweli, vp serikali hawezi kuingilia wanadai laundry
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kasema mwamko mdogo Sasa watamuuzia nani nafikiri utasubiri sanaUkizihitaji unazipata kwa utaratibu maalumu,,wa kujaza fomu na vipande vyako kuuzwa kwa mwingine,,Halafu ndani ya siku 5 za kazi unapewa mzigo wako..Iko hivyo kama sikosei
) Tupo wengi tu,,tuliowekeza..Suala la kuuza hisa ni Kampuni ndo inayoshughulikia..Halafu wapo tu watu wanaonunua fasta tu,,Nimeona wenzangu hisa zao zikuzwa ndani ya siku 3 pesa zao wanakabidhiwa,,iyo ni UTT..Sijajua makampuni mengineJamaa kasema mwamko mdogo Sasa watamuuzia nani nafikiri utasubiri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kununua hisa kipindi hiki ni kujitakia ugonjwa wa moyo.) Tupo wengi tu,,tuliowekeza..Suala la kuuza hisa ni Kampuni ndo inayoshughulikia..Halafu wapo tu watu wanaonunua fasta tu,,Nimeona wenzangu hisa zao zikuzwa ndani ya siku 3 pesa zao wanakabidhiwa,,iyo ni UTT..Sijajua makampuni mengine
Sasa boss UTT mpaka huko UTT maumivu?Kununua hisa kipindi hiki ni kujitakia ugonjwa wa moyo.
UTT ni fursa kubwa kwa wenye mitaji midogo. Kuna mifuko unaweza kuanza na elfu 8000 kwa mwezi.Habari wana Jf.
Hapa Tanzania Kuna fursa za uwekezaji katika Soko letu la hisa ( DSE) pamoja na UTT AMIS, lakini watanzani wengi hawajitokezi katika kufanya uwekezaji huo?
Je, unafikiri ni sababu zipi inapelekea hali hii? Na mambo gani yafanyike ili kuongeza wawekezaji katika Soko la hisa na UTT AMIS.
YOUNG INVESTORS FORUM- 3
Mimi nafikiri kuwa sababu kubwa ni elimu kuhusu soko la hisa na elimu juu manufaa (faida na hasara ya uwekezaji huo) wekeni jukwaa la kutoa elimu kikamilifu juu ya DSE na UTT AMIS watu wengi hawana elimu kuhusu faida ya hisa na manufaa yake, tumieni mitandao ya kijamii kutoa elimu juu soko la hisa hasa instagram, facebook na twiter watu wengu wanatumia sana izo mitandao.Habari wana Jf.
Hapa Tanzania Kuna fursa za uwekezaji katika Soko letu la hisa ( DSE) pamoja na UTT AMIS, lakini watanzani wengi hawajitokezi katika kufanya uwekezaji huo?
Je, unafikiri ni sababu zipi inapelekea hali hii? Na mambo gani yafanyike ili kuongeza wawekezaji katika Soko la hisa na UTT AMIS.
YOUNG INVESTORS FORUM- 3
Asee ukimaliza nielimishe na mmKuna project namalizia kuifanya kuhusu mambo haya ya elimu ya uwkezaji , ikikamilia nitakujulisha hopefully itasaidia sana kuelewa haya mambo
Huu ndo wakati mzuri sana wa kununua hisa kwa sababu utazipata kwa bei ya PUNGUZO. Kumbuka uchumi haupo vizuri hiyo ni advantage kwako kununua kwa bei ya chini ili uje kuuza hali ikiwa sawa kwa bei ya juu. Ni uelewa wangu tu huu ila ukihitaji msaada zaidi wa masuala haya tafuta wataalam wa DSE