Will i.a.m
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 347
- 49
matangazo yalikua mawili la kikengereza na kiswahili so hii ni genaral au ni10. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa
maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba tena mara nafasi za kazi
zitakapotangazwa.
matangazo yalikua mawili la kikengereza na kiswahili so hii ni genaral au ni
specifical
Nahisi majina yaliyotoka ndo hayohayo hakuna mengine na mbona maelezo yao yanajitosheleza kwasababu wamesema kwenye hiyo document kwamba ambao hawataona majina yao watambue kuwa maombi yao hayakufanikiwa hivo wajaribu tena wakati mwingine waonapo matangazo.
yeyote mwenye ufafanuzi juu ya majina yalitolewa leo na PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS je ni majina ya barua za maombi zilizoandikwa kwa kingereza au ni za kiswahili mssaada tafadhali maana iomeibuka sitofahamu kwa baadhi ya watu amabo wanadhani kua kuna majina mengine yatatangazwa mmoja wapo ni mimi