loosimingori
JF-Expert Member
- Oct 30, 2017
- 920
- 1,146
nlifikir umeandika kitu cha maana kumbe pumba tupuKama title hapo juu inavyojieleza.Mimi kama mshabiki wa majogoo wa jiji,jana ucku nilifadhaishwa mno na uamuzi wa UEFA kuifurusha man-U katika UCL kwasababu katika mechi ya mwisho ya UCL man city pia alipoteza 2-1 lakini UEFA imeivusha hadi nane bora.Kitu ambacho kinafanya niseme man-U imeonewa na UEFA ni kwamba na wenyewe pia jana walipata kichapo cha 2-1 lakini cha kushangaza wenyewe wamefurushwa wakati matokeo hayo hayo yaliivusha man city hatua ya 8 bora.
Nafikiri jana united walidhani wangepata favor ya referee kama walivyopata upendeleo wa referee dhidi ya majogoo wa jiji na walivyocheza na chels.Muhimu ni kwamba united msirely sana kwenye favor za marefarii kumbukeni kuwa champion league haichezeshwi na marefarii wa Uingereza pale mojawapo ya timu inayocheza ikiwa niya Uingereza
sorry mkuu ni utani tunlifikir umeandika kitu cha maana kumbe pumba tupu
mkuu hivi kweli MUNGU naye anakoseaga?MUNGU wetu uliyemuumbaji wa viumbe vyote tazama huyu kiumbe wako uliyemuumba kwa mfano wako anasema eti wewe MUNGU ulikosea kuniumba mmMungu alifanya makosa kukuumba
Afadhali nimesoma comment yako kabla cjaweka yangu ningem.......bas tuWe jamaa umeanza lini kuangalia mpira au kuwa shabik? futa post yako unatudhalisha sisi wapenda soka
siwezi kufananisha city na united mkuu kwani city huwa hategemei mbeleko ya mwamuziusiifananishe MAN CITY na mambo ya kifala, Man City alimpiga mtu 4 kwao
mkuu tuvumiliane tu kwani hata mimi niliwavumilia sana j'mosi iliyopita kwenye EPLWe Jamaa kiazi kweli yan
Au we dem
wanahasira hao!Man utd fans katika ubora......
Shabiki wa man u huyo amesha changanyikiwa hata hajui ameandika niniKama title hapo juu inavyojieleza.Mimi kama mshabiki wa majogoo wa jiji,jana usiku nilifadhaishwa mno na uamuzi wa UEFA kuifurusha man-U katika UCL kwasababu katika mechi ya mwisho ya UCL man city pia alipoteza 2-1 lakini UEFA imeivusha hadi nane bora.
Kitu ambacho kinafanya niseme man-U imeonewa na UEFA ni kwamba na wenyewe pia jana walipata kichapo cha 2-1 lakini cha kushangaza wenyewe wamefurushwa wakati matokeo hayo hayo yaliivusha man city hatua ya 8 bora.
Nafikiri jana united walidhani wangepata favor ya referee kama walivyopata upendeleo wa referee dhidi ya majogoo wa jiji na walivyocheza na chels.
Muhimu ni kwamba united msirely sana kwenye favor za marefarii kumbukeni kuwa champion league haichezeshwi na marefarii wa Uingereza pale mojawapo ya timu inayocheza ikiwa niya Uingereza