Hiyo imetulia, yaani safi sana, halafu kumbe dongo kundu lilitokana na jina udongo mwekundu, sasa mbona mlipindisha maana kulitamka inakua balaa.
Mambasa itakua raha sana, yaani hii miundo mbinu ikamilike fasta.
mkuu asikudanganye mtu miaka na miaka hatujui kujenga wenyewe na ujinga wetu wataendelea kutujengea hadi vizazi na vizaziMiritini - Kipevu Road
mkuu asikudanganye mtu miaka na miaka hatujui kujenga wenyewe na ujinga wetu wataendelea kutujengea hadi vizazi na vizazi
Mpendwa1 , unafanya kwenye hili project? Nilikuwa mombasani mwezi wa 2, niliona wakifanya earthworks kwa bidii.Sikusema kuna mtu amenidanganya. Ukisoma jibu langu hapo awali nimesema "natumai" kwa hivyo only time will tell. Either mwaafrika aamke ama aendelee kulala. Najuwa tungetaka tuamke lakini again only time will tell.
nadhani hujaelewa jinsi miradi ya kisasa yanavyo enda. Hawa wajapani wanaingia kwa hivi vigezo:Hivi waafrica hatuwezi kujenga yenyewe hadi tujengewe? Nini faida ya kusoma?
nadhani hujaelewa jinsi miradi ya kisasa yanavyo enda. Hawa wajapani wanaingia kwa hivi vigezo:
1. Mara nyingi serikali lina miradi mikubwa lakini sababu ya kusawazisha bajeti na kuisambaza kwenye kila sekta vikiwemo afya,kilimo,mahakama n.k pesa linakosekana. Panapo pungufu ,inabidi waingishe wadau wengine kama WB AfDB nk ,na zamu hii japan imekubali kutupa huo mkopo yenye kulipwa kwa riba inayoeleweka. Mara kwa mara hawa WB na AfDB wanaleta sarakasi na vituko inabidi watafute mwingine mfadhili. Licha ya uchumi kudhoofika japani, mabenki bado yana fedha, ila masoko na miradi ya kuiwekeza ndio adimu.(Too much liquidity in banks in spite of a slow economy).
2. Japani wamestushwa na jinsi wachina wamesambaa kwenye nchi za kiafrika. Katika geopolitics ya bara Asia, hawa vifaru wawili hawapendi kuona mwenzao akishinda, na bara afika imeibuka kuwa uwanja mpya wa huo vita yao baridi. Kwa hiyo kupata hiyo kandarasi ni fursa kwao kupenyeza nafasi za miradi nchini kenya ,hasa ukizingatia wamepoteza soko tangu waijenge lile mradi wa umeme wa sondu miriu kaunti ya kisumu miaka karibia 15 iliyopita. Kampuni zao zimepata kichapo sana kutioka ya wachina. (Upping the ante on the chinese in a war for strategic influence on the african continent).
before you are given one by Quickly let me also attempt to contribute although I don't know anything about macroeconomics... mine is just layman's....Hebu Quickly give me your unbiased analysis on usefulness of dry port in Naivasha and its importance to both macro and micro economics of the country. I was celebrating the initiative until CORD/NASA came up with claims that it's meant to steal business from port of Mombasa and hence rendering so many Kenyans jobless.
This scared me, I always shudder and get jittery at every initiative or anything that can increase the already alarming unemployment rate in our country.
before you are given one by Quickly let me also attempt to contribute although I don't know anything about macroeconomics... mine is just layman's....
Yes indeed jobs from specific sectors will be lost (but will later be regained through increased trade)... but not to Naivasha but rather to Nairobi Inland Container Depot ICD ... The Naivasha ICD is not a threat to Mombasa, Infact the Kisumu port at lake victoria and its subsequent ICD will be bigger than the Naivasha one.... I thiink the main reason they chose to build a dry port at Naivasha is because of the planned Industrial park so that goods from the park can have a holding area and also be loaded or raw material from other parts or imported can be offloaded. The reason for an industrial park in Naivasha is availability of fresh water (especially for food processing plants), unlimited cheap Geothermal (remember if you are lucky enough to live next to a geothermal plant, you will never experience a blackout), the power is unlimited meaning you could melt iron all day and not even feel a pinch on power bill... Plus it doesnt hurt if the industrial park is far from the port... this means atleast, Atrain carrying goods directly to kisumu port destined for Kisumu and its evirons plus Uganda and rwanda, will not return empty to Mombasa, it will pick up manufactured goods in Naivasha and supply them to nairobi and the rest to mombasa and other goods ready for export to the port of Mombasa... And thus, the jobs that Naivasha might have stolen will be returned back... As mombasa will need to handle the export processing...
lets not forget that Nairobi and Eldoret already have an ICD as we speak Northern Corridor Transit and Transport Coordination Authority: Inland Container Depots The Nairobi ICD will increase its capacity from 180,000 TEU pa to 400,000(If I rem correctly), The Naivasha one will be much smaller, While for Kisumu it will be bigger because it will also handle for EA cargo.. Remeber after the new terminal in Mombasa was completed, Mombasa can now handle 1.75Million TEU pa so those ICD got nothing on Mombasa , they plan to add another terminal to increase the capacity of Mombasa to 2.5Million TEU pa!!!! KENYA’S INLAND CONTAINER DEPOT IN NAIROBI NEARING COMPLETION | Knowledge Bylanes Kenya
So while some jobs will move to Nairobi and Naivasha and Kisumu..... This will decongest the port of Mombasa.... The decongestion will mean the port of Mombasa will be relived thus making it faster and more efficient at clearing cargo from the port... This means more ships will be processed at any given time ....thus more workerd will be needed leading to a larger throughput making the port more competitive...in the end, more cargo will be offloaded at the port thus giving back the jobs....(Jobs stolen from other regional ports and also as a result of increased trade)
anyway, Japan is building a special economic zone in "Udongo mwekundu" costing 30 billion (and they said the 30 billion is just for basic infrastructure meaning the actual investment by private companies could excess over billion in dollars) So Mombasa will still be the main transport hub in the cargo business
KPA ICDs explanation ICD Nairobi
I typed a response yesterday like immediately on this JF app, then when i tried to edit it mysteriously deleted it. Only noticed this morning.Hebu Quickly give me your unbiased analysis on usefulness of dry port in Naivasha and its importance to both macro and micro economics of the country. I was celebrating the initiative until CORD/NASA came up with claims that it's meant to steal business from port of Mombasa and hence rendering so many Kenyans jobless.
This scared me, I always shudder and get jittery at every initiative or anything that can increase the already alarming unemployment rate in our country.