kama ndo hivyo basi kitu JAMUHURI, cc ndo mwaka wa jana tulisajiliwa, na mtapanga mistari humo ndani uwanjani kutokana na school na college zenu , xo mpango mzima unakua hivyo.

Tehe tehe tehe! Hebu waungwana acheni kupoteza muda kujaza coments kwenye hii thread ya huyu mpuuzi, hana lolote huyu. Usajili wa wanafunzi uwe uwanja wa jamhuri umekuwa usahili wa bongo star search huo!?
Mbaya zaid ifike hyo siku unakuta gest zimejaa zimebak lodge tu! Af mwenyewe mgen unapanga folen na mabegi yako meng ajabu! Cha msing kama ni kweli wahi kabla ya hizo za usajil laa sivyo shda tupu!
achana nae huyu mwendawazimu asiye elewa!! hawa ndo wale wakiwa kwenye chumba cha mtihani wanafuta majibu sahihi kwasababu tu ya kugelezea kwa mwenzie!!
Tehe tehe tehe! Hebu waungwana acheni kupoteza muda kujaza coments kwenye hii thread ya huyu mpuuzi, hana lolote huyu. Usajili wa wanafunzi uwe uwanja wa jamhuri umekuwa usahili wa bongo star search huo!?
Acha lugha chafu.......sio mara ya kwanza hilo zoezi kufanyikia hapo.....ulizeni kwa ustaarabu kama litarudiwa hapo au la....cha maana ni kuhakiki hiyo habari