Mnaoiponda Udom sidhani kama elimu zenu zimewakomboa na wengi mnaonekana bado mpo chuo, ngoja mmalize mje na vyeti vyenu kitaa ndipo utajua kama iyo Mzumbe yako au Udsm itakupa kazi, Mimi nilimaliza Udom 2013 sikukaa omtaani zaidi ya miezi sita nikapata kazi, ata wanafunzi kutoka vyuo ambavyo wanajiona wao bora walikuwepo ila nikapata Mimi sababu ya uwezo wangu, maliza uje kitaa uone kama icho chuo chako kitakubeba