B Brother V Member Joined Dec 8, 2013 Posts 36 Reaction score 10 Jun 17, 2014 #1 Wahadhiri katika chuo kikuu cha Dodoma wagoma kutoa na kusimamia mitihani wakishinikiza kulipwa pesa zao wanazo kidai chuo,na hivo kusababisha kutofanyika kabisa kwa mitihani katika college ya Humanities na social science!
Wahadhiri katika chuo kikuu cha Dodoma wagoma kutoa na kusimamia mitihani wakishinikiza kulipwa pesa zao wanazo kidai chuo,na hivo kusababisha kutofanyika kabisa kwa mitihani katika college ya Humanities na social science!
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,682 Jun 17, 2014 #2 Lahaula laqwat
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 61,053 Reaction score 124,524 Jun 17, 2014 #4 Mitihani itafanyika?