Kama unajua maana SARIS hiyo haito kusumbua ila ngoja nikujibu swali ni system ya mtandao ambayo hutumika na vyuo vingi ili kuweka data za mwanafunzi husika kama vile matokeo na vingine vingi ni hayo tu.

Academic Registration Information System! Ni mfumo wa ki elektroniki utumikao kuhifadhi taarifa za maendeleo ya kitaaluma kwa kila mwanafunzi, kwenye mtandao!