Udhamini CCM: Stephen Wassira apata mapokezi ya kishindo

chipoteka

Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
66
Reaction score
25
Katika hali ya ushindani ktk mbio hizi ndani ya CCM kugombea nafasi ya urais,Mh.Steven Massatu Wassira ameendelea kupokewa kwa kishindo ktk mikoa aliyopita kwa lengo la kupata wadhamini kuelekea kuteuliwa kuwa mgombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi.






Katika mikoa ya na maeneo aliyopitia mpaka sasa ya Dodoma,Singida,Manyara,Arusha na Kilimanjaro, Mh.Wassira amepokewa kwa wingi sana na wanachama wa chama cha Mapinduzi wanaoonyesha kuunga mkono nia yake ya kuwania "ofisi ya kwanza" ya Nchi hii.Amedhaminiwa na makada wa ngazi mbalimbali ndani ya chama na kuvuka malengo ktk kila eneo alilopita




Mpaka sasa zoezi hilo linaenda kwa kasi na kwa ufanisi mkubwa,huku Wanachama wengi toka ngazi yofauti ya chama wakimuunga mkono.Wassira ni moja kati ya Wabunge na watia nia wenye nguvu na ushawishi ndani ya chama cha Mapinduzi hivyo kuwa miongoni kati ya watia nia wenye nguvu na ushawishi ndani ya duru za siasa za Ushindani ndani ya CCM.Huu ni mchakamchaka kuelekea Dodoma mpaka jogoo litakapowika Chimwaga!!
 

Nasikia lowasa wadhamini wanamiminika nyumbani kwake dodoma kumdhamini.
 
Kila anapoenda anapata wadhamini wengi hivyo wakati mwigine wengi woa waliojitokeza kumdhamini hawapati nafasi ya kufanya hivyo kutokana na idadi inayohitajika kukamilika.
 
Wasira anatakiwa awe MAKUMBUSHO by A. Ngurumo!
 
Duh!!tutajionea mengi sana mwaka huu.
 
hata huku kwetu hai watu wanagombania kumdhamin WASIRA



Huyu kiumbe angekuwa Korea Kaskazini angekuwa ashafutwa kwenye uso wa dunia hii. Ila kwa Tanzania anadiriki kutoka mbele ya umma kuomba awaongoze! Aibu!!!!!
 

Attachments

  • Wassira.jpg
    93 KB · Views: 169
Itakuwa aibu kweli kusema natoka Tanzania....gorilla president!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…