kindikwili
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 1,862
- 2,876
Habari iwe nanyi,
Ndugu zangu hawa watu wa UDART wana madharau makubwa sana kwa wananchi wa nchi hii.
1. Madereva wa mwendokasi wananyanyasa sana abiria, yaani wanaweza kuamua kwa makusudi kuegesha magari kwa madai ya kuwa mbele ya muda. Hili limekuwa likitokea hasa kwenye terminals kama Feri, Kimara na Morocco.
2. Unapopanda kwenye terminal ya kuanzia kama Morocco, Kimara au Feri hawasemi gari ni express, wanakuja kutangaza njiani. Mfano jana tumepanda mweno kasi dereva akakataa kuao gari feri kwa madai kwamba hana mafuta, wananchi tukaingia, jamaa akatufungia ndani akatoka kwa dk 15 watu tumekaa tunamsubiri tu, aliporudi akawasha gari bila hata ya kuongeza mafuta. Hakusema gari ni express lakini tulipofika DIT akatangaza gari ni fire na kwamba kituo cha kwanza ni Korogwe. Ikabidi wale wa manzese na wengine wa Ubungo maji tufike hadi Korogwe ndipo turudi nyuma.
3. Siku ya mvua kubwa ile hawa watu walikuwa wanakata tiketi huku wakijua magari hamna.
Jamani hawa watu wamulikwe kwakweli maana wanasababisha kero, usumbufu na unyanyasaji kwa rais.
Kindikwili kwasasa DSM.
Watanzania sisi ni watu wa ajabu sana, tuna tabia ya kuponda na kudharau kila kitu chetu hatuwezi kuendelea kwa namna hii, hata wale tunaotamani kuwa kama wao, walianza hivi hvi kwa shida.
wako watu wanatamani aje mzungu au tu kampuni yoyote ya nje itoe huduma watalizika, lakini sasa hivi kwa kuwa kuna mswahili mwenzao wanaona kila kitu kibaya, hapana tubadilike maendeleo yetu yataletwa na sisi wenyewe kuanza kupenda kujali na kuthamini vya kwetu.
mradi unazo changamoto, ndiyo, lakini hiyo ni hatua ya ukuzi kwa kitu chochote kama ambavyo kila mtu ana changamoto zake za maisha, wakati mwingine tunalalamika kwa ajili ya kulalamika tu, unasema umependa Express mimi ni msafiri mzuri wa usafiri huu, morocco hakuna express, wewe ulipanda ya wapi.
Mwendokasi pamoja na changamoto zake umetusaidia sisi wengine tofauti na hali ilivyokuwa hapo awali, tuwakosoe kwa haki ili pia waweze kufanyia kazi haya tunayosema, lakini tukiwakosoa kwa matatizo yasiyokuwepo hata kama una nia njema unaonekana mbambasiahaji
Mfano changamoto kubwa kwenye mradi huu ni wingi wa abiria Vs idadi ya mabasi, Hili kila siku tunamabiwa mradi huu uko kwenye mpito, anatafutwa mtu wa kutoa huduma kamili na serikali, sasa kama huduma ziko kwenye mpito mwekezaji wa sasa anawezaje kuwekeza ili aongeze mabasi bila uhakika anakuwa na kazi hiyo kwa muda gani? hili hata waandishi wa habari hawalifanyi wanauliza abiria tu, kila stori ni kulalamika kukaa kituoni muda mrefu, wawafuate serikali waseme wanaongeza mabasi lini?
watanzania wengine bado vichwa maji...unapandaje gari inayoenda kimara unashuka manzese au mapipa wakati kuna gari za morocco na ubungo na hizo gari haswa za ubungo kwenye terminal zote kivukoni gerezani huwa zinaondoka zikiwa tupu unamkuta mtu anagombania gari la kinara anashuka manzese..mnakera ukiwemo wewe mleta mada...na ni bora gari za kimara zote ziwe express mziogope .
Acha ujinga wa kudhani watanzani hawana uelewa.Watanzania sisi ni watu wa ajabu sana, tuna tabia ya kuponda na kudharau kila kitu chetu hatuwezi kuendelea kwa namna hii, hata wale tunaotamani kuwa kama wao, walianza hivi hvi kwa shida.
wako watu wanatamani aje mzungu au tu kampuni yoyote ya nje itoe huduma watalizika, lakini sasa hivi kwa kuwa kuna mswahili mwenzao wanaona kila kitu kibaya, hapana tubadilike maendeleo yetu yataletwa na sisi wenyewe kuanza kupenda kujali na kuthamini vya kwetu.
mradi unazo changamoto, ndiyo, lakini hiyo ni hatua ya ukuzi kwa kitu chochote kama ambavyo kila mtu ana changamoto zake za maisha, wakati mwingine tunalalamika kwa ajili ya kulalamika tu, unasema umependa Express mimi ni msafiri mzuri wa usafiri huu, morocco hakuna express, wewe ulipanda ya wapi.
Mwendokasi pamoja na changamoto zake umetusaidia sisi wengine tofauti na hali ilivyokuwa hapo awali, tuwakosoe kwa haki ili pia waweze kufanyia kazi haya tunayosema, lakini tukiwakosoa kwa matatizo yasiyokuwepo hata kama una nia njema unaonekana mbambasiahaji
Mfano changamoto kubwa kwenye mradi huu ni wingi wa abiria Vs idadi ya mabasi, Hili kila siku tunamabiwa mradi huu uko kwenye mpito, anatafutwa mtu wa kutoa huduma kamili na serikali, sasa kama huduma ziko kwenye mpito mwekezaji wa sasa anawezaje kuwekeza ili aongeze mabasi bila uhakika anakuwa na kazi hiyo kwa muda gani? hili hata waandishi wa habari hawalifanyi wanauliza abiria tu, kila stori ni kulalamika kukaa kituoni muda mrefu, wawafuate serikali waseme wanaongeza mabasi lini?
Acha ujinga wa kudhani watanzani hawana uelewa.
Hizi gari kwa kweli ni unyanyasaji mkubwa umetawala.
Maafisa wa usafirishaji hawatimizi wajibu wao kukidhi matarajio yetu.
Iko siku jiji litakosa usafiri wa umma kitambo kidogo.
Hebu ficha ukilaza wako nawewe, hujaona kasema mapipa au manzese, Morocco na Ubungo, Unakurupuka kuja kukosoa badala ya kusoma vizuri.Wewe hata DSM huijui unataka mtu wa manzese apande gari la morocco !!!!! acha watu wa dsm wajadili hoja. Hata hivyo hakuna sheria inayokataza kufanya hivyo. Kama gari ni express dereva aseme mapema kuliko kutangaza njiani.
Hebu ficha ukilaza wako nawewe, hujaona kasema mapipa au manzese, Morocco na Ubungo, Unakurupuka kuja kukosoa badala ya kusoma vizuri.
Au ulienda shule kusomea ujingaa?????
Nilikuwa nakusikilizia untolee povu kama ulivomtolea jamaa, NimeshibaAisee umekula leo? mbona una hasira za mwenye njaaa!
Nilikuwa nakusikilizia untolee povu kama ulivomtolea jamaa, Nimeshiba
Amani kiongozi...Hahahahaaa aisee poa mkuu
mkuu unakurupuka soma vizuri nimetolea mfano mtu wa mpipa na manzese nikasema wamampipa anaweza panda la lorocco na manzese anaweza panda la ubungo ...then unapokuwa mtu mzima ni kujitambua sio kuongozwa kama mtoto embu tumia ata akili zako magari ya unungo mengi haswa apo kivukoni yanaondoka sit hazina abiria ila cha ajabu watu kama ww wansubiri la kimara ili ashuke manzese ...alafu express zote zimeandikwa kwenye display au ujui kusoma mkuu.Wewe hata DSM huijui unataka mtu wa manzese apande gari la morocco !!!!! acha watu wa dsm wajadili hoja. Hata hivyo hakuna sheria inayokataza kufanya hivyo. Kama gari ni express dereva aseme mapema kuliko kutangaza njiani.