1. Kigogo anayebembeleza penzi la Rapunzel umemsahau kabisa?
Inasemekana ni kaka wa damu wa Kongosho!
Kaizer KakaKiiza Vin Diesel watu8 Nicas Mtei na Paw wahusishwa na tycoon huyo!
mwekundu ajitetea kusema, ingekuwa ni safari za Dar-Moro, Dar-Moshi basi angehusika maana hajawahi kutoka nje ya nchi hii.
Mwalimu snowhite alionekana chobingo akimchombeza walau awe mchepuko!!!
2. Heaven on Earth sawa kuwa jimbo huru. Nafasi za kutuma maombi zitatangazwa hivi punde
3. C6 alias Joe Nyandigira atokwa jasho kutaka kulivunja penzi thabiti la mwallu na Mentor. Akumbana na mtihani mgumu. Ni baada ya kugundua hawakufahamiana JF pekee.
4. masai dada sasa ndiye miss JF 2014/2015. Apita bila ushindani. Msiulize shindano lilifanyika lini.
5. Asprin hati hati kuachwa na mchepuko wake @khatwe. Habari kamili ni siri ya mwandishi.
6. Mtambuzi sasa azidi kuzeeka. Hayo yalithibitika hivi majuzi baada ya kulala chumba kimoja na mrembo (air hostess wa kampuni kubwa ya ndege) wa Kikenya bila kufanikiwa kumgusa hata upindo wa vazi lake.
7. 7 5 mm ataka kurusha ndoano kwa snowhite. Habari kamili, toleo lijalo.
8. ...
miss chagga huyu kiwatengu hajui haya mambo
Yeye kan'ang'ania sehem moja tuu miaka na miaka
Hata mke akitoroka kwenda kwao yeye bado yupo tuu habadiliki
Mentor apo kwa masai dada apo..mdogo mdogo
kwani unawaume wangapi?
never on earth!!
tunatumia trustsheep codes...
labda uniambie hii ndiyo zamu yake kupanda.
akishuka na yeye wanapanda wengine! u said this yo self..
watakutafuta sana bila mafanikio..
watakutaka sana hawatakupata.
Joe Nyandigira......u hearrrd......akishalegea mwallu niite nimkaze
watakutafuta sana bila mafanikio..
watakutaka sana hawatakupata.
Umesalimika hivi hivi?
Sana mi sina inshu