Kama unataka kushikia wenzako pembe miaka hii, jaribu kupropose mahusiano bila ngono..
sio Me wala Ke, wengi saivi anataka aone kama mzigo upo? wa kuridhisha? sio bwawa? unaweza mchezo?
...wewe na mchumba wako hamku-do?
Hata mimi ningefurahi kuwa na uchumba pure bila ngono, but the world is f**d up, if you don't giv it to her...atakipeleka kwa mwingine!!
nini maana ya mpenzi sa? neno mpenzi limetoka kwenye neno penzi umoja,mapenzi wingi,likihusisha ufanyaji wa mapenzi na mambo mengine yanayoendana na hayo,anza kutafuta jina lingine la kumwita Mkuu,polee
Daaa ansanteni kwa ushaur sema nimempenda damni but najitahidi kumpotezea but roho ngumu..wadau mwenye neno ra busala la kumwambia huyu gashi anisaidie afu sio siri anagegedwa na wengine inavoonekana na mm hataki na kama kugegeda tu Niko vizur ishu kwake ni kwamba kwao et wachumba hawagegedani na mwanzo ilikuwa bahati mbaya of course mm nataka niufate moyo wangu