kwani safari hii tena wamegeuza kibao hawataki kura ya wazi,hapo mwanzoni si ndio walikuwa wanasema kura za siri zina ajenda mbaya na wakadai ili kuwa muwazi kura za wazi ndio demokrasia,sasa tena wamegeuka,hakika hii katiba ina mazingaombwe ya Profesa six