Taarifa kwa wanachama,wadau,wapenzi na mashabiki wa chadema muheza na kwingineko,uchaguzi wa ndani ya chama ngazi ya wilaya utafanyika tarehe tajwa hapo juu,leo 22/7/2014 fomu zimeanza kutolewa kwa wagombea walio tia nia,mwisho wa kuchukua na kurudisha fomu 29/7/2014 kwa mujibu wa miongozo ya chama,wale wote walio tia nia wafike ofice ya chadema wilaya kuanzia 2 am-4pm,
Tahadhari kampeni katika chadema zina miongozo yake na idara ya usalama inafanya kazi usiku na mchana kubaini mamruki na wanao kiuka taratibu za chama;nafasi zinazogombewa m/k (w),katibu(w),mwenezi(w),mwekahazina(w) na mjumbe wa mkutano mkuu taifa,vivyo hivyo kwa mabaraza ya chama wilaya;taarifa zaidi fika ofice ya chadema muheza mapema sana