ukiona hivyo ujue magamba wametumia mwanya huo wa udini,halafu baadae wanapiga vijembe CDM.Kuna habari nimezipata kuna dogo mmoja hapo udom anaitwa kiringo yeye ni bingwa wa siasa za udini hapo chuo kuna jamaa yangu anafanya kazi hapo amenitonya kuwa yeye na mgombea wake walipewa na shehe mkuu wa mkoa wa dodoma laki 6 ili ziwasaidie katika ujinga wao ni kweli haya?
Acha ujinga dogo naomba mtupe sababu za kuwaengua PHILIPO MERCY, KALANDA GILBERT.M.,CHAMA WILLIAM ktk nafasi ya urais na baada ya wao kuamua kumuunga mkono mgombea JAPHARY OTIENO KHATEMBO nae mkamuengua asubuhi jana siku ya uchaguzi ili kufanikisha malengo yenu ya waliowatuma chini ya usimamizi wa dharimu NZAMBA NASSA kama mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kupandikiza mashushu (bernard janus na mwenzake william denis aliyewekwa kama kiini macho)Ndani ya wiki kama mbili zilizopita vyuo vingi vya elimu ya juu nchini vimekuwa vikifanya chaguzi mbalimbali ili kujipatia viongozi watakao waongoza kwa misingi ya sheria na utawala bora katika serikali za wanafunzi. katika chaguzi hizi vijana huanza kuonekana nyota zao kisiasa kwani umaarufu wao huanza kupatikana katika kipindi hiki ambacho wao huwa vyuoni.
Habari hii imejiegemeza katika Chuo Kikuu cha Dodoma ambapo zoezi hili limemalizika jana na washindi kutangazwa na tume ya uchaguzi ya chuo hicho mida ya saa tatu na nusu usiku. Chuo Kikuu cha Dodoma kina college 6 ambazo ni college of Education, college of Humanities and Social Science, college of Informatics and Virtual Education, college of natural sciences and mathematics, college of mines and petroleum engineering na college of health and allied sciences.
lakini miongoni mwa hizo college zote college iliyokaa kisiasa zaidi ni SOCIAL SCIENCES AND HUMANITIES. ambapo democrasia na ukomavu wa kisiasa huonekana mara kwa mara katika chaguzi zao. mwaka huu umekuwa wa kihistiria baada Mr. Bernard, Janus kushinda kwa kishindo na chaguzi huo uliogubikwa na fitina, majungu na uhasama wa hali ya juu dhidi yake lakini kupitia sera zake amawashawishi mamia ya wanafunzi katika kitivo hicho kujitokeza na kupiga kura kwa wingi. Na kuwa dhihirishia wapinzani wake kuwa yeye ni mkomavu wa siasa na anakubalika. mamia ya wanafunzi skuli ya sanaa na lugha walikesha wakishangili ushindi wake kwakishindo. nina mtakia mujumu mema katika serikali yake.
Ni gamba makamanda wote walienguliwa kwa nguvu na wengine kuzuiwa kushiriki kabisa kampeni na NZAMBA NASSA mwenyekiti wa tume ambaye pia ni kada mzuri na kiongozi wa CCM anayejipambanua kama mtu mwenye nguvu nyingi za watawala, kijana mmoja mwenye jeuri hivi isyokuwa na mashiko yoyoteMkuu Wangooto,
Nasikia kulikuwa na itikadi za vyama (CCM & CDM) Huyo aliyeshinda alikuwa upande gani?
Acha ujinga dogo naomba mtupe sababu za kuwaengua PHILIPO MERCY, KALANDA GILBERT.M.,CHAMA WILLIAM ktk nafasi ya urais na baada ya wao kuamua kumuunga mkono mgombea JAPHARY OTIENO KHATEMBO nae mkamuengua asubuhi jana siku ya uchaguzi ili kufanikisha malengo yenu ya waliowatuma chini ya usimamizi wa dharimu NZAMBA NASSA kama mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kupandikiza mashushu (bernard janus na mwenzake william denis aliyewekwa kama kiini macho)
Watoto wa udom mnamambo ndio maana tunasema chuo chenu ni cha kata hata wanafunzi akili zenu zimekaa kikata kata tu nasikia hao madogo wengine walifoji g.p.a ili waweze kugombea na pia sio kilaunayemtaka lazima apite hata kama hana vigezo mimi nimeumia sana kusikia huyo mzanzibar kiringo mtoto wa yule jamaa wa zanzibar mwenye skendo chafu kuwa ni bingwa wa udini juzi nilikuwa nimekuja dodoma kwenye majumuisho ya wizara yangu jamaa angu akawa ananippa habari yeye anafanya kazi hapo dogo lengo lake lilikuwa atawale mwisilamu na yeye ndio aliomba pesa kwa shehe wa mkoa nasikia hata huko wanakoswalia alikuwa anaendeleza kura za udini
Ni gamba makamanda wote walienguliwa kwa nguvu na wengine kuzuiwa kushiriki kabisa kampeni na NZAMBA NASSA mwenyekiti wa tume ambaye pia ni kada mzuri na kiongozi wa CCM anayejipambanua kama mtu mwenye nguvu nyingi za watawala, kijana mmoja mwenye jeuri hivi isyokuwa na mashiko yoyote
Nilipopata hii habari nilisikitika sana hapo ndipo mnapokiuwa chuo chenu kijana kama huyo ni kirusi kwenye jamii anasoma sheria ama sharia? mngeunganika kwa pamoja mkapopoa hata mawe sisi enzi zetu wakati nipo pale univeristy of khartoom japo nchi ile waislamu wengi lakini mambo haya hayakuwepo kabisaKatika swala la udini hassan kilingo ni kiongozi wao,amejaa fitina na ujinga,yuko mwaka wa tatu sheria lakini hana chochote anachojua zaidi ya quran na kuwaita wenzake makafiri,mjinga sana huyu