Uchaguzi umeisha Rais aache kampeni

Hamjajua tatizo? Hamkumchagua yeye hilo analijua ndio maana anaendelea kupiga kampeni kuwaeleza mumwelewe.

Pale alikaaa kwa maamuzi ya JK sio Uchaguzi
 
Wakuu heri ya mapinduzi day binafsi nashindwa kumuelewa mtukufu raisi kwanini anaendelea na kampeni wakati uchaguzi umeisha na yeye ndo mshindi?
bila maelekezo ya kina hautaeleweka.
Kampeni KIVIPI ?
 
Nimemsikiliza shinyanga,yani anafanya kampeni kali utafikiri uchaguzi ni jumapili hii
 
Kuna wajanja wamempa nakala ya matokeo halisii ya urais ktk uchaguzi mkuu 2015, amepigwa butwaa na kuamua kupiga kampeni za 2020 mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…