Nimeona,kuna kicheche mmoja tena member wa jf,nae anagombea.... Keshamaliza midume humu sasa kahamiA kwa wapiga kuraWapendwa wana harakati wa chama cha demokrasiabna maedndeleo(CDM)Ni nini mtazamo wako kuhusiana na u chaguzi wa bavicha-Taifa kesho 10/9/2014 live from Mlimani city ambapo wapo vijana kibao ambao wana wania nafasi mbalimbali Maana bavicha ni mhimili mkubwa kwa chama
..jamani yule bint peneza angefaa kuwa mwenyekiti, na akishindwa bavicha wampe kitengo cha uhamasishaji! Lakini pia wagombea wote watakaokosa nafasi ile wakubali kushindwa na wapewe nafasi mbalimbali ndani ya bavicha na chama kiujumla ili kukitumikia chama!
Watakaoshindwa wahame chama kama kamanda mwenzao wa lushoro!