Uchaguzi huru na wa haki

Joined
Jul 25, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Nini tufanye ili kuepusha migogoro na lawana ambazo kwenye chaguzi zetu hutokea ni bora iwepo tume huru ambayo itasimamia uchaguz kuliko hii ambayo ipo na wakati mwingine inajihusisha na udanganyifu wa kula. Ningependekeza Katina mpya itambue tume huru ili kuondoa udanganyifu unaofanyika wakati wa chaguzi.
 
ndiyo maana tunataka hilo kwenye katiba mpya , bila tume huru mjomba mbona patachimbika , hatutaki longolongo , NOWHERE TO HIDE .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…