Diamond yuko KENYA na Wamemkorofisha NAPE na KINANA na Mawaziri Wasiofaa kupandishwa Vyeo...
Acha ife kuwa ccm sasa hivi
Nikama kuwa mchawi yanini shida yote
CDM chama dume !!!!
Diamond yuko KENYA na Wamemkorofisha NAPE na KINANA na Mawaziri Wasiofaa kupandishwa Vyeo...
Mh. Mboye alikataa shangingi la serikali kumbe alikua anataka chopa.
Mh. Mboye alikataa shangingi la serikali kumbe alikua anataka chopa.
Ngoja aende Wassira mwenyewe huko ndo mtasikia mambo yake. Kama aliwakataa watoto wake ni huyo anayeingia kwa chama kinachokufa kabla ya pasaka? Atawarudisha watu wote uanjani kabla ya saa kumi na mbili hivi. Msiogope ccm mnaye Tyson wenu kule. Alikua anangojea Mawaziri mizigo watangazwe kalamu isikosee jina lake.