zagamba deo
Member
- Oct 27, 2014
- 52
- 28
Watanzania wa wapi unawasemea? au watanzania wa hapo gheto unaposhinda ukivuta Bangi?Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Naunga mkono hoja.Ni bora kuchagua hivyo vya upande wa pili kuliko kuchagua kuongozwa na jitu katili, uaji, limejaa visasi, fisadi, jizi hadi rambirambi, halina huruma, baguzi.
Mtukufu kaburu Mkoloni mweusi tokea chato sasa ni Rais tajiri kuliko Marais wote barani Afrika , mikataba mipya ya madini ni siri yake madini pesa cash vilivyokamatwa airport Bandarini mipakani na zile huzuiwa na BOT zikiwa zimetumwa tokea nje vyote kujimilikisha, kuna 10% ununuzi wa Ndege kuna 10% kwenye miradi yote mikubwa hata tenda nyingi ni kampuni zake na kampuni za ndugu zake na rafiki zake pesa zote zinazunguka zinamrudia yeye kwa njia moja au nyingine.Ni bora kuchagua hivyo vya upande wa pili kuliko kuchagua kuongozwa na jitu katili, uaji, limejaa visasi, fisadi, jizi hadi rambirambi, halina huruma, baguzi.
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura ni weupe sanani aidha bara ama visiwani... kuna kupata na kukosa... ila hakuna kupata vyote... wote wanataka vyote kwa pupa... ngoja tuone
Mpumbavu mkubwa wewe usiye na haya.UCHAGUZI WA MWAKA HUU UNA PANDE MBILI
1. Kuchagua Maendeleo ya Watu na Vitu Kama ilivyoelezwa kwenye ilani ya CCM, ama Kuchagua Unyonyaji wa raslimali zetu kupitia kwa wakala wa mabeberu kama inavyoelezwa kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA kuwa wataweka rehani madini na raslimali nyinginezo.
2. Kuchagua Mila, Desturi na tamaduni zetu kama ilivyoelezewa kwenye Sera za CCM ama Kuchagua mila na tamaduni za Kigeni kama ilivyoelezwa na Mgombea wa CHADEMA.
3. Kuchagua Amani, Upendo na Mshikamano wa Taifa kama ilivyo sera za Chama cha Mapinduzi ama Kuchagua maandamano, fujo na uvunjifu wa amani kama inavyohubiliwa na CHADEMA.
4. Kuchagua Ujenzi wa Miundombinu mbalimbali na miradi ya Kimkakati kama inavyotekelezwa na Serikali ya Dr. John Pombe Magufuli ama Kuchagua lawama, uzushi na kupinga maendeleo.
5. Kuchagua uzalendo kwa Taifa kama ilivyo kwa Dr. John Pombe Magufuli ama Kuchagua kuwa kibaraka wa mataifa ya Kigeni.
#Kataa wachumia tumbo……
#Chagua Maendeleo
Njiani kuna kura na pia kwenye vituo tayari wamepeleka masanduku ya kura yapo juu ya dari wanasubiria mda ufike wawafukuze mawakala kisha wanashusha masanduku ya kura chini na kuchukua ya chini kuficha kura za HakiKURA ZA UBUNGE NA URAISI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA JIMBONI, HAZITAHESABIWA KWENYE VITUO VYA KUPIGIA KURA
KURA ZA UDIWANI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA MAKAO MAKUU YA KATA (KATANI)
WAPINZANI HAMPATI KITU.
KUWENI MAKINI
Mwaka huu Magufuli anateleza tu.UCHAGUZI WA MWAKA HUU UNA PANDE MBILI