Edmund N Abel Member Joined Dec 14, 2012 Posts 20 Reaction score 2 Nov 25, 2013 #1 Je CHADEMA wamejipanga vip kuuchukua ushindi licha ya changamoto ndogondogo ndani ya chama kukikabili?. Attachments Chadema_001.jpg 16.4 KB · Views: 188
Je CHADEMA wamejipanga vip kuuchukua ushindi licha ya changamoto ndogondogo ndani ya chama kukikabili?.
H Honolulu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 5,648 Reaction score 1,729 Nov 25, 2013 #2 Bila tume huru ya uchaguzi, ni wazi CCM watachakachua matokeo tena! Jambo muhimu kwa sasa ni CDM kushughulikia uwepo wa tume huru ya uchaguzi!
Bila tume huru ya uchaguzi, ni wazi CCM watachakachua matokeo tena! Jambo muhimu kwa sasa ni CDM kushughulikia uwepo wa tume huru ya uchaguzi!
M Mbekengason Senior Member Joined Sep 27, 2013 Posts 187 Reaction score 41 Nov 25, 2013 #3 Kuna kampaini ya kimya kimya ya kuwa na watu wengi kupigia CHADEMA wakati huu ambapo CCM bidii zao zote zimewekwa kwa viongozi wa juu. Njoo vijijini uone kinachoendelea. CDM ni tishio usidanganywe na mtu.
Kuna kampaini ya kimya kimya ya kuwa na watu wengi kupigia CHADEMA wakati huu ambapo CCM bidii zao zote zimewekwa kwa viongozi wa juu. Njoo vijijini uone kinachoendelea. CDM ni tishio usidanganywe na mtu.