New Force 2015
Member
- Oct 25, 2013
- 63
- 262
Nilifikiri wewe ndiye mwenye wajibu wa kutujulisha maana wengine hatumfahamu. It's nice that now everyone is dreaming of becoming a mbunge. It pays handsomely.Wananchi wa Jimbo la Bahi wanasema mabadiliko ni lazima sasa, mkoa wa Dodoma haujawahi kupata mbunge wa Upinzani tangu uhuru,vuguvugu la mabadiliko limeshika kasi ndani ya Dodoma likiongwa na Makamnda mbalimbali kila kona ya Mkoa huku Mathias akiongoza harakati za Kumtoa OMARY BADUEL (CCM) ambaya pia ana kesi mahakamani ya Kupokea Rushwa..
Sema unachokijua kuhusu kamanda huyu Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Bahi.....View attachment 120024
kamanda big up uko vizuriNilifikiri wewe ndiye mwenye wajibu wa kutujulisha maana wengine hatumfahamu. It's nice that now everyone is dreaming of becoming a mbunge. It pays handsomely.
Nyie ndio mnaohitajiwa na chama.Nina mfahamu kamanda huyu mpambanaji,natambua mchango wake kwenye chama hasa anayoifanya mpaka sasa hapa Arusha,kimsingi ni jembe la kazi litakalowakomboa wana Bahi na wagogo wenzangu,mimi nakwenda kuwakomboa wana mtera kupitia kata ya Fufu-chamwino dodoma.
kumbe anataka kuwa mbunge kwa vile mkoa wa dodoma haujawahi kua na mbunge wa upinzani? safi sana na wengine wajitokeze waseme jimbo letu halijawahi kua na mbunge mwanamke nao wagombee[/QUOTKUWAKAMATA utaki meza wembe au taga mayai ya mbuni
Nilifikiri wewe ndiye mwenye wajibu wa kutujulisha maana wengine hatumfahamu. It's nice that now everyone is dreaming of becoming a mbunge. It pays handsomely.