uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,041
- 8,644
Kwahiyo kuwa muingereza ndio tatizo?JUDE NI COMPLETE PACKAGE.
1. Anakaba.
2. Ana nguvu,Akiamua kukaba ama undava vyote anaweza
3. Anafunga magoli. Mpaka sasa nadhani ana goli zaidi ya 13
4. Ana kimo kizuri kinachomraahisishia kucheza mipira ya juu
5. Anaweza kucheza eneo lote la kiungo 6,8,10.
6. Ana uwezo mkubwa wa kuchezesha timu kutoka juu chini ama pia kati kati ya kiwanja..
7. Ana speed na mwendo mzuri
TATIZO KUBWA LA HUYU JAMAA NI MUINGEREZA.
Mchezaji wa kawaida hawezi kucheza Real MadridOverated sana , ni mchezaji wa kawaida tu kama umeshawahi kuwaona wachezaji wazuri. Media zinampamba sana.
Kwangu mimi ni wa kawaida sana.
Kwahiyo kuwa muingereza ndio tatizo?
Football is a game of statistics so far He's the best player according to statistics but it's to early to compare him with the likes of Christian Ronaldo luka modric Lampard or Gerrard but I think he's from ENGLAND that's why they overhype him as always accustomed to do they did it in Adnan januzaj dele ali Jesse lingard and rashford English media are rubbish sometimes when it comes to their players.Jana niliangalia El classico lkn lengo langu kuu ilikuwa ni kutazama bwana mdogo ambaye amekuwa akiimbwa sana kwenye platform za social media
Jana nimeangalia mechi ukitoa zile goli alizofunga sijaona potential kubwa kwake hadi aanze kufaninishwa na Lampard au Zidane au maestro wengine
Jana nilivyomuona ana ubora kwenye kujipostion/ anajua wapi akae Ili aweze kupokea pasi pamoja na phiscality uwanjani
Ila anapoteza sana mipira
Hatoa accurate pass
Hakabi
Hana pace
Mwili wake ni ule wa mifupa mizito kwahiyo anawahi kuchoka
Mechi ya jana dogo alipotea kabisa shukrani kuingia kwa babu Modric alilainisha game
Nimekuwa nikisikiliza interview za Ancelot kuhusu magoli anayofunga Jude mara nyingi hata yeye anashangazwa hii maana yake hamtegemei sana
Je, kweli Jude ana ubora ambao mimi siuoni hadi aanze kuwekwa daraja moja na kina Zizou?
Achana na porojo za Waingereza, Chamberlain alikuwa na ubora upi? Average player hype kubwa kama Walcott tu.Waingereza ni watu wa kushangaza kidogo.
1. Viungo hawa walikiwa wazuri mno
Frank lampard.
Steven Gerlard.
Paul scores etc.
Walicheza kwa mafanikio makubwa ila hakuwahi kuoata Tuzo za Dunia.
2.Hawa wachezaji nilitegemea waje kuwa wachezaji bora wa Dunia . Ghafla wakapotea bila kutegemea
Michae owen.
Jack Wilshare
Alex oxled chamblen.
Theo walcott.
Wakapotea bila kutegemea
Wakijidai majeraha majeraha........
Teko Modise nifanyie mpango avatar yako nimeielewaAchana na porojo za Waingereza, Chamberlain alikuwa na ubora upi? Average player hype kubwa kama Walcott tu.
Jack Wilshere atleast nilishawishika, Michael Owen kama sikosei mwaka 2001 alitwaa Ballon D’or
Waingereza ni watu wa kushangaza kidogo.
1. Viungo hawa walikiwa wazuri mno
Frank lampard.
Steven Gerlard.
Paul scores etc.
Walicheza kwa mafanikio makubwa ila hakuwahi kuoata Tuzo za Dunia.
2.Hawa wachezaji nilitegemea waje kuwa wachezaji bora wa Dunia . Ghafla wakapotea bila kutegemea
Michae owen.
Jack Wilshare
Alex oxled chamblen.
Theo walcott.
Wakapotea bila kutegemea
Wakijidai majeraha majeraha........
Ukicheza madrid unakuwa ronaldo, benzema , zidane , figo? Maana huyo ubora wake unalinganishwa na hao ingawa umri unaruhusu kufanya hayo we subiria hata misimu miwili halafu rudi hapa, huyo hafiki hata ubora wa kaka yule wa ac milanMchezaji wa kawaida hawezi kucheza Real Madrid
Sio mechi za real tuu hata timu ya taifa kwenye mechi za kifuzu euro emekua man of match zaidi ya 3 na ametupia magoalDogo ana miaka 20 afu anakiwasha balaa, msimu huu Kawa man of the match kwa zaidi ya mechi 7 za real Madrid,madogo tatizo mnaangalia mechi za mpira LiveScore!!!
Dogo ana miaka 20 afu anakiwasha balaa, msimu huu Kawa man of the match kwa zaidi ya mechi 7 za real Madrid,madogo tatizo mnaangalia mechi za mpira LiveScore!!!