HatareeMara paaaap,!!! File zime corrupt akili zinabishana
Wewe unataka uende chooni robot lako kichwani linataka kareti sasa utakapo harisha huko barabarani ndio utajua Mwenyezi ni mkuu
Noma sanaHataree
Bongo ni tumebase kwenye theory oriented education. Hatuwezi labda tubadilikeMaprifesa pasua vichwa wa Bongo mjiandae
mkuu umenivunja mbavu kwa kucheka iseeeeeMara paaaap,!!! File zime corrupt akili zinabishana
Wewe unataka uende chooni robot lako kichwani linataka kareti sasa utakapo harisha huko barabarani ndio utajua Mwenyezi ni mkuu