Wadau MMU,
Wengi wetu tunaangalia ubikira katika maumbile peke yake. Lakini kuna ubikira na ubikiri wa moyo ambayo ni wa muhimu na wenye nguvu zaidi katika uhusiano kuliko ubikira wa mwili. Inawezekana ukabikiri mwili ya mtu bila kubikiri moyo wake. Ukibikiri mwili bila moyo uhusiano unakuwa legelege. Ubikiri wa moyo ni ule upendo wa kwanza usioelezeka, usio na vigezo, yaani hujali elimu, umri, dini, kwa kifupi ni kama umebugua wanzuki.
Je, ni yupi anamkumbukwa zaidi, aliyebikiri mwili au moyo?