Ubikira Wangu

scolastika

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
3,863
Reaction score
5,732
Leo nimeamua kujiripua aseee!Ni hivi sijawahi kuona bikira wala kusikia maumivu yake.

Tiririka nami.
Mimi ni msichana mzuri tu niliyelelewa kwenye maadili, sio maadili tu nadhani pia ni aina ya mtoto aliyestaarabika.

Ukiachana na kustaarabika nilikuwa na akili pia darasani (kwa wale walosoma vijijini kipindi hiko kijijini mnafaulu wawili watatu basi nikajiunga secondary)

Kiufupi ni kwamba sijawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi mpaka namaliza masomo ya A level (changamoto zilikuwepo ukizingatia kule kwetu wanapenda rangi nyeupe lakini nilitaka nisome nimtoe mama yangu kwenye umaskini uliokithiri niliamini elimu tu ndio ingemaliza shida zote.

(Ningekuwa na wenge basi hata baada ya kumaliza sekondari ningeolewa make waoaji walikuwa wengi na hapa ndo huwa nasema kuna watu Mungu alishawachagua tangu wakiwa tumboni mwa mama zao.

Baada ya kumaliza form six sasa hapo kidogo niliamua kumkubali mtu alieleta nia ya kunioa sikuwa serious nilitimiza wajibu tu ila mi nilikuwa nawaza shule, ikumbukwe zamani mtu alikuwa akinitongoza namuona kama adui yangu asiyetaka nisome shule basi tukaenda hivyo hivyo akataka aanze process za kunioa nikamuwekea vikwazo mpaka akashindwa mwenyewe.

Nikaingia chuo sasa mambo ya mahusiano yalizaliwa huko kwa kuwa ni mtu wa dini nikamwambia Mungu basi kama kweli ndiye niruhusu nianze naye mahusiano basi nikakubali yale mazoea na ushawishi wake nikakubali kumpa tunda.

Sasa kiini cha mada ndio hiki, maandalizi ya kutoa tunda kwa huyu mwanamme yakaanza nikaandaa na pedi make nilishagoogle huko opera na nilikuwa mwoga hatari mara story za unaumia mara unafanyeje.

Siku yenyewe ilipofika mkunyenge uliingia bila shida yaani sikuona cha damu wala tone wala maumivu mmh, akauliza wewe si ulisema hujawahi kutana na mwanamme nikasema ndio akawa dissapointed hata mimi nilipata shida make sio kitu nilichokitegemea, lakini baada ya siku mbili akasema usiwe na shida naye hakuwa na mambo mengi nadhani pia kwakuwa nilikuwa mtu anayejiheshimu labda alisema ni kweli, mahusiano yetu yaliendelea kwa kipindi cha miaka saba mpaka tukaja kuoana.

Baada ya kusoma soma habari nikakubali kwamba huenda ilipotea kutokana na kazi ngumu na pia nilikuwa naendesha baiskeli, kwa hiyo jamani sijui mambo ya bikra.

Ndoa yangu imekuwa nzuri sana na yenye amani nami nilikuwa sijui hata staili lakini nilipambana nikawa fundi babayeyo naona hachomoi, nami sitakuja kuchepuka kamwe.

Samahani kwa uandishi mbovu kama swali nitajibu ila natumia app ya zamani ko naweza hata nisionekane app mpya imenishinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…