Mbonafingi
Senior Member
- Apr 24, 2009
- 126
- 10
:rockon::rockon:umejiunga lini jamii forum napata shaka nahisi wewe ni huyo ziliona. uwe mkweli jamii forum ni mtambo wa kujirekebisha ningekuwa wewe ningebadili identity ili nipate mbinu za kujirekebisha. shame on you na wengine wote wadanganyifu.:high5:Chuo cha mipango ni chuo knachoheshimika sasa Tanzania..kwa kuwa makini na product..wanafunzi wake hawana muda wa kuzurura mjini...mnataka nyie wa mipango muwe kama wenzenu ..tunzeni hiyo tunu...au ndo mabadiliko hayo naskia ya uongozi yanakuja ..au kuna watu wanataka veyo hapo mwaanza kutafuta uchawi..cheo ni dhamana..tafute ukweli, haki, amani na watu wote..uongozi unatoka kwa mungu na si wa kuloby....mbaya uongozi si wa kulala kuota jamani..kama mungu kapanga utakuwa kiongozi tu..tumieni jina la chuo vizuri ..msije kikimbia tena ..na mkaoeneana aibu....
dah sasa hayo yana tofauti gani na yule muhando wa TANESCO ambae aliwapa tenda wanae ya kuleta stationary katika TANESCO duh hii noma ila nimeshangaa kukuta mpaka lifuliro aisee namuheshimu sana mkuu yule nashangaa nae kaingia katika ufisadi ngoja nitafute ile kamati ya mashirika ya umma maana hapa wameandika hivi
Optimal Welfare Consultants (OWECO) is a private Tanzanian consultancy company established with the registration number 90906 and incorporated under the Companies Act of 2002 and that the Company is Limited. It is a semi- profit firm with the primary focus of providing consultancy services in a wide range of development planning and management areas such as health, education , environment, land, finance and economic development, water, trade, agriculture, livestock, forest, tourism, technological development, social protection and mining sectors. The company is envisaged to provide training, conduct research and policy/strategic analysis/reviews and carry out other advisory functions in the above specified areas. OWECO uses participatory approaches, models and tools and advanced technology to provide optimal services to clients. The head office of the company is located in Dodoma Urban.
sasa kama ni private company kwann itumie mali za chuo????
Ni chuo kilicho na ukiritimba,wizi wa fedha katika serikali ya wanafunzi na pia ni chuo kinacho ongozwa kwa ubabe wa MAKAMO MKUU WA CHUO TAALUMA Mr ZILIONA. Chuo hiki kimekuwa kikitafuna fedha ya serikali ya waanafunzi, hakitoi taarifa ya matumizi katika bunge la wanafunzi...sasa mbaya zaidi ni baadhi ya sheria zisizo na miguu wala kichwa kama WAKINA DADA KUTO SUKA WI ING nk. Chuo kimekuwa kikitunga na kuweka sheria bila kupitishwa katika bunge la wanafunzi.
IRDP KUNA KAMPUNI NYINGI SANA NA HATA PROJECTS PIA AMBAZO WANATUMIA RASLIMALI ZA CHUO NA PIA MUDA WA MWAJIRI KATIKA KUFANYA MAMBO BINAFSI. KUNDI KUNDI LA WAFANYAKAZI MUDA WA KAZI WAO WANASIMAMIA BIASHARA ZAO WAKATI WANGETAKIWA KUWA KAZINI. NAOMBA KUTAJA:
1. OWEKO inajumuisha akina Zilihona, Lifulilo, Mdendemi na WENGINE WENGI
2. RUCORDIA hII KAMPUNI INAJUMUISHA AKINA DR. NJAU na watu wengi sana kama akina Dr. Sebyiga
3. CORDEMA hapa yupo MGABO na wenzake
4.SIKILIZA PROJECT hapa yupo Dr. Kamanzi ambaye kila siku anasafiri na hafanyi kazi kama alivyoajiliwa
5. Kampuni ya akina Dr. Msaki na wenzake
6. Kampuni ya akina Prof. Katega na wenzake
7. DON CONSULTANCY COMPANY hii ni ya Ndugu Andrew Komba na wenzake
8. Kundi la wahadhiri wasio kuwa na kampuni lakini wanafanya hizi consultancy kwa kutumia muda wa chuo bila kulipa chochote kwa mfano wapo akina Dr. Kilobe, Ndiwaita, Dr. Timothy, Dr. Nyankweli na wengine wengi sana
Hii ni mifano michache tu ya jinsi mali na muda wa mwajiri unatumika kwa manufaa ya watu binafsi na si Chuo kwa ujumla
Tatizo la wabongo bwana ni ikiwa jua shida ..baridi shida..na ndo mana hatuendelei..necta wamefeli shida ..haya na imefika mipango sasa...mnataka nini.... tuwe wastarabu na tusitumie jukwaa hili kutukana watu..tutoe michango ya kujenga jamani. Kutaja majina ya watu ni sumu ... kuna watu humu hata lugha zao zinafahamika..ukisoma tu unajua huyu fulani..tuliza jazba hiyo ..itacucost maisha. Heshimu elmu yako na utumie kwa familia yako. yamefika sasa mipango...
tuwe makini na hoja zetu ... ni vema tukaongea yenye evidence kuliko kukurupuka tu.....au kuna mambo mengine ya ubinafsi...hebu muogopeni mungu au nyie ndo mwatak kuharibu chuo cha watu..... kama mtu huajridhika na mabadiliko ni vema utafute sehemu nyingine kwa vile umesoma