A abm8 Member Joined Nov 22, 2014 Posts 19 Reaction score 2 Feb 14, 2015 #1 Nafasi zinazotangazwa ni nyingi ukilinganisha na wasomi walio mtaani, lakini bado hawapati nafasi hizi hii inamanisha wanaoajiliwa wengi ni watu wasio na taaluma hizo, maana ya kuwa na vyuo vikuu iko wapi sasa??
Nafasi zinazotangazwa ni nyingi ukilinganisha na wasomi walio mtaani, lakini bado hawapati nafasi hizi hii inamanisha wanaoajiliwa wengi ni watu wasio na taaluma hizo, maana ya kuwa na vyuo vikuu iko wapi sasa??
C CHIEF JJ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 1,075 Reaction score 357 Feb 14, 2015 #3 umejuaje yani umesema ukweli mtupuuuuu