Ualimu wa Awali

iampizooh

Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
46
Reaction score
37
Nimechaguliwa ualimu wa Awali,hivi naweza kubadilisha?? Pia naomba faida za ualimu wa Awali..
 
kwani chuo uliomba mwenyewe bila kufanya tafiti juu ya faida zake? au kuna mtu alikufanyia application
 
wєwє ndíσ ulíchαguα uαlímu wα αwαlí αu vp?lαkíní kuвαdílíѕhα ínαwєzєkαnα kαmα ukífíkα chuσní nα kupαtα mtu wα kuвαdílíѕhαnα nαє íwαpσ kαmα kwєnчє chuσ híchσ kunα uαlímu kαwαídα αu míchєzσ
 
Ualimu wa awali ni kazi ngumu bala kufundisha watoto wa miaka 2-5 yataka moyo ila mshahara nadhani wanalipwa zaidi kuliko walimu wengine komaa na awali ujue tabia za watoto
 
Nenda awali utapata ajira faster kuliko wengine sina maneno mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…