Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Mkuuu unakosea, Wamekuja makocha wa bei mbaya kama Poulsen, Maximo, Amunike nk nk nk. Yaaani hata aje Pochettinooooo au Zidane kwa aina ya Wachezaji wetu Wadumavu, Lishe Duni, Wasiofundishika, Waliobweteka na Vimafanikio kiduuuchu hutokuja kuona Maaajabu kwa hawa andunje wetu mkuu, tuache kuwalaumu makocha.Tatizo ni makocha wa bei cheee! we unazani kwa makocha wetu kama hawa anatoka azam anakua kocha mkuu wa timu ya taifa. ulitegemea tuifunge tunisia kwa mpira gani ambaao wapo makini kwenye usajili wa makocha..
ACHA NIJIFUNZE KUNYAMAZA
Umeongea ukweli, timu ya Taifa imecheza hovyo kabsa yani hata kuvuka tu half yao nishida sembuse kushambulia. Tatizo sio kocha ila ni wachezaji wenyewe.
Kocha mkuu ndagar nini sijui, kocha msaidizi matola&mwenine huyu kibonge wa coastal sijui. Ulitaka maajabu gani mkuu? Sometimes tufikirie. Mtu upo ugenini unatumia holding mildfilder 2. Maybe alitaka tushinde kuanzia matatu kwenda mbele
Hata angepangwa Nani Tunisia ni level nyingine, hatuwezi kujilinganisha nao. Kufungwa goli moja la penati tata Tunis ni improvement kubwa Sana.
Lazima tukubali kuwa Tunisia wametuzidi mbali sana kisoka.
Lakini pia ni muhimu tutambue kuwa uwezo wa wachezaji wetu ni mdogo mno ila wanabebwa na wageni na wanapambwa na magazeti.
Kumlaumu Kocha tunakosea mno, angalia wachezaji wetu hata kupiga pasi sahihi wanakosea unataka kocha afundishe wachezaji kupiga pasi?
Tumejitahidi
Yes,kwa timu ya Tanzania, Tunisia ni bora sana regardless mpira waliocheza.Mkuu uliangalia mpira vizuri kweli?
Tunisia unawaita bora kwa mpira waliocheza jana ule?